Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Kuna kitu cha kipekee sana juu ya wanawake ambao wako hivi, Sijui ni mimi tu na macho yangu, lakini mwanamke wa hivi naweza honga hata nyumba. Huwa najikuta nawapenda bure tu...Rangi ya ngozi na nywele zao bado za asili...

Rai yangu: wanawake wa Kiafrika ni wazuri sana na Mungu aliwapendelea, msijiharibu ngozi zenu....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…