love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Hii kali!Kuna mmoja nilishawahi kuhonga kuku na vifaranga wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kali!Kuna mmoja nilishawahi kuhonga kuku na vifaranga wake
Nahisi nawe ni miongoni mwao wa style ya mtoa madaHii kali!
Kiasi. Wa mtoa mada wamenipiga gap.Nahisi nawe ni miongoni mwao wa style ya mtoa mada
He he he heRoho yangu huwa inasimama nikukutana nao
Mbona kama wa mymar
Huyo wa kwanza figo ikizingua na muwekea...Kuna kitu cha kipekee sana juu ya wanawake ambao wako hivi,
Sijui ni mimi tu na macho yangu, lakini mwanamke wa hivi naweza honga hata nyumba.
Huwa najikuta nawapenda bure tu...Rangi ya ngozi na nywele zao bado za asili...
Rai yangu: wanawake wa Kiafrika ni wazuri sana na Mungu aliwapendelea, msijiharibu ngozi zenu....
View attachment 860406View attachment 860410View attachment 860411View attachment 860440View attachment 860481View attachment 860840
Huyo msichana namkubali sana kupita maelezo.Anaitwa Chrisette Michelle
Yawezekana uko vizuri zaidi ya hao maana hao camera nazo zimechangia kuwaka. Inabidi nijisogeze chobingo nikuoneKiasi. Wa mtoa mada wamenipiga gap.
pia wana utamu wa asili mkuu onja uoneRoho yangu huwa inasimama nikukutana nao
aaah huyu hapa, domo kaliharibu
Kwanini hukutegemea mkuu ???Sijategemea Uzi kama huu kutoka kwako
Ila sio mbaya hata mimi demu wangu ni mapigo hayo hayo