Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

Butch-Cut.jpg
 
Kama hayawezi mambo kitandani huyo bure kabisa
 
Nikishamwona mwanamke kajichubua ngozi, kavaa madude mbandia kama nywele, kucha na nyusi. Huwa namkimbia maana naamini vile vitu vyake asili vyote vimeshatumika vya kutosha na vingine vimeisha, usishangae hata ile habari!!! ambayo anataka kukutega ili akupe nayo ikawa kaweka ya bandia tena ya plastic
 
Basi sawa lakini sijaona kitu hapo aisee.hapo kusearch network isome H+ sijui atatumia ushawishi gani maybe kama ana chura imwongezee sifa
Weka akiba ya maneno mzee. Hapa kwenye huu uzi nazungumzia wanawake walioko kwenye uhalisia wao. Hilo la uzuri nadhani ni mada nyingine kabisaaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hukuona kama kucha yangu ilikatika?
Hata hivyo mimi na jembe hatupatani au umesahau?

Nafurahi kukuona kipenzi
ndio maana nimerudi vizuri tikabadiri hizo kucha na kila kitu. maana hujaumbiwa shida nikiwepo.

nimefurahi zaidi kipenzi
 
Kuna kitu cha kipekee sana juu ya wanawake ambao wako hivi,
Sijui ni mimi tu na macho yangu, lakini mwanamke wa hivi naweza honga hata nyumba.
Huwa najikuta nawapenda bure tu...Rangi ya ngozi na nywele zao bado za asili...
Rai yangu: wanawake wa Kiafrika ni wazuri sana na Mungu aliwapendelea, msijiharibu ngozi zenu....

View attachment 860406View attachment 860410View attachment 860411View attachment 860440View attachment 860481View attachment 860840
Wachache sana ndo watakuelewa, watu wana mawigi ya kutosha+ mikorogo ya kila aina imejazana kwenye dressing table
 
Back
Top Bottom