MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mapenzi upofu Rebecahahahaaaaaaaaaaaaaa Antonio umejua kunichekesha kweli jioni hii
Huyu hamna kitu aisee umeyumba mkuu. Anaonekana anajicream halafu amebust manyonyo
Teh teh tehHuyu hamna kitu aisee umeyumba mkuu. Anaonekana anajicream halafu amebust manyonyo
Basi sawa lakini sijaona kitu hapo aisee.hapo kusearch network isome H+ sijui atatumia ushawishi gani maybe kama ana chura imwongezee sifaTeh teh teh
Hapana, ndivyo alivyo mzee.
Weka akiba ya maneno mzee. Hapa kwenye huu uzi nazungumzia wanawake walioko kwenye uhalisia wao. Hilo la uzuri nadhani ni mada nyingine kabisaaaaa.Basi sawa lakini sijaona kitu hapo aisee.hapo kusearch network isome H+ sijui atatumia ushawishi gani maybe kama ana chura imwongezee sifa
SawaWeka akiba ya maneno mzee. Hapa kwenye huu uzi nazungumzia wanawake walioko kwenye uhalisia wao. Hilo la uzuri nadhani ni mada nyingine kabisaaaaa.
No offence bro....Sawa
ndio maana nimerudi vizuri tikabadiri hizo kucha na kila kitu. maana hujaumbiwa shida nikiwepo.[emoji23][emoji23][emoji23]hukuona kama kucha yangu ilikatika?
Hata hivyo mimi na jembe hatupatani au umesahau?
Nafurahi kukuona kipenzi
anadhani hizo nywele zake!!!
Mtafute,anadhani hizo nywele zake!!!
Wachache sana ndo watakuelewa, watu wana mawigi ya kutosha+ mikorogo ya kila aina imejazana kwenye dressing tableKuna kitu cha kipekee sana juu ya wanawake ambao wako hivi,
Sijui ni mimi tu na macho yangu, lakini mwanamke wa hivi naweza honga hata nyumba.
Huwa najikuta nawapenda bure tu...Rangi ya ngozi na nywele zao bado za asili...
Rai yangu: wanawake wa Kiafrika ni wazuri sana na Mungu aliwapendelea, msijiharibu ngozi zenu....
View attachment 860406View attachment 860410View attachment 860411View attachment 860440View attachment 860481View attachment 860840
Naamini na Mimi nimekusimamisha. Maana nimejionaRoho yangu huwa inasimama nikukutana nao