Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

Huyo wa kwanza figo ikizingua na muwekea...
 
Huyo mwenye nguo ya "Best babes club" hiyo style yake ya nywele inanikumbusha mama zetu enzi zao early 80s kurudi nyuma.
R.I.P Mamma.

Namkubali sana mwanamke anapiga hiyo tena natural hair tu.
 
ebu wekeni picha za kina mwantumu huko mitaani kwenu sio mnaattach picha za google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…