Wanawake wa Rombo Wana nini?

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wanatandika bakora waume zao wakajiulize kwa jirani zao Kenya

S
Serikali Ilipoingilia Kati Ulevi Wa Wanaume Wa Rombo Mpaka Wamama Wakawa Wanakwenda Kenya Kupata Huduma Ya Kuna Nuru Gizani
 
Bango liko Mwananyamala Dar hili
View attachment 3255532
Ingawa lazima tuseme, kwa ujumla Wachaga ndio kabila lililojitahidi kutoa Wake wengi Bora kwa ndoa Bora.
1. Sifa kuu ya wanawake wa Rombo ni uchapa kazi kazi kazi...wanaitwa fusso.

2. Udhaifu wao mkubwa mkiwa mnachuma wote wao hujenga kwao kwa siri...
 
Warombo wa miaka ipi hiyo hawa wa sasa hiv n wauzaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…