Wanawake wa Rombo Wana nini?

Wanawake wa Rombo Wana nini?

Aaah weeh!! Kwani pm hakujajibu tu๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
Kumbe Kuna PM tena, uwe unasema mapema sasa....ungeshapata wifi kabla ya Ramadan
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wanatandika bakora waume zao wakajiulize kwa jirani zao Kenya

S
Serikali Ilipoingilia Kati Ulevi Wa Wanaume Wa Rombo Mpaka Wamama Wakawa Wanakwenda Kenya Kupata Huduma Ya Kuna Nuru Gizani
 
Bango liko Mwananyamala Dar hili
View attachment 3255532
Ingawa lazima tuseme, kwa ujumla Wachaga ndio kabila lililojitahidi kutoa Wake wengi Bora kwa ndoa Bora.
1. Sifa kuu ya wanawake wa Rombo ni uchapa kazi kazi kazi...wanaitwa fusso.

2. Udhaifu wao mkubwa mkiwa mnachuma wote wao hujenga kwao kwa siri...
 
Kumbe Kuna PM tena, uwe unasema mapema sasa....ungeshapata wifi kabla ya Ramadan
Kuna mahali niliona unalalamika pm kuwa slow usiku. Dogo umepotea jukwaani, kumbe unakesha pm๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Warombo wa miaka ipi hiyo hawa wa sasa hiv n wauzaji tu
 
Back
Top Bottom