Wanawake wa Rwanda wamenifanya ninatamani kwenda kutafuta maisha Uganda au Rwanda

Wanawake wa Rwanda wamenifanya ninatamani kwenda kutafuta maisha Uganda au Rwanda

sasa hivi limezuka wimbi la wasichana wa Rwanda kujitangaza sana mitandaoni, app ya camera 360 na filter wanazitumia kikamilifu kudanganya macho ya wanaume wa East Africa, nadhani kuna ajenda maalum mioyoni mwao. Hata wababa wa huko wana ji cream na kutumia hizi apps kudanganya macho ya wasichana. Kuna kaka mmoja niliwahi kumuuliza inakuwaje haya, in short alinijibu '' mind your own business sisi tupo kazini'' mpaka sasa nimeshindwa kujua ni kazi gani hio.
 
ivi...shule bado tu hazijafunguliwa...
unajua katika maisha usiishi kwa kuangalia uzuri wa sura...
kuna viumbe vina sura nzuri ya kuvutia ila ndio vyenyo roho mbaya yenye maudhi.
kikubwa tabia njema...huruma...ucha Mungu...na heshima....mengine unaweza kuvumilia.

lakini kinyume na hapo ni karaha.
mahusiano ni pozo na tiba ya ugonjwa wa moyo...lakini ikiwa ni kinyume...mahusiano yanaweza kuwa ni chanzo kikubwa sana cha matatizo na migogoro. unaweza pia kuchanganyikiwa ikiwa tu utayaendekeza mahusiano.
Mkuu unamaanisha nini kusema shule hazijafunguliwa?
 
sasa hivi limezuka wimbi la wasichana wa Rwanda kujitangaza sana mitandaoni, app ya camera 360 na filter wanazitumia kikamilifu kudanganya macho ya wanaume wa East Africa, nadhani kuna ajenda maalum mioyoni mwao. Hata wababa wa huko wana ji cream na kutumia hizi apps kudanganya macho ya wasichana. Kuna kaka mmoja niliwahi kumuuliza inakuwaje haya, in short alinijibu '' mind your own business sisi tupo kazini'' mpaka sasa nimeshindwa kujua ni kazi gani hio.
Mkuu watu tunawaona na tunaishi nao kinachosemwa ni ukweli 100%
 
Tz Mungu kaibariki sana kwa wanawake wazuri makabila 126 species zote zipo hapa, hawa wenye maumbo sijui ya Rwanda wapo hapa, wenye mionekano ya kiethiopia wapo hapa, ntabaki Tz daima tumebarikiwa sana.
 
Na wote tuseme Ameen.

Vijana kuweni na uzalendo anzeni kusifia vya nyumbani
 
Ukiona unafanya mapenzi na mwanamke hatoi maji, basi jua wazi hujafanya Kazi yako ipasavyo..
though kuna wachache ni wakavu kutokana na matatizo ya kisaikolojia au magonwa....
Hao wanawake ambao unawazungumzia nawajua lakini hao warwanda nimepita nao sana wamejaa maji kama mito.
 
Niliwahi kuwa na dem wa kinyaru siku za nyuma tulikuwa karibu sana coz tulikuwa tunafanya kazi knye NGO moja tukajikuta tupo knye mahusioano sasa baadae sana nikaja kujua yule dem kapandikizwa pale kwa kazi maalum usiniulize nilijuaje kitu nachoweza sema wanaume wengi wabongo tuna wa admire sana hawa madem wakinyaru na ni wazuri sana kwa kweli na iyo,sasa iyo weakness inatumika sana kutimiza maelengo yao,akili za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom