Wanawake wa Rwanda wamenifanya ninatamani kwenda kutafuta maisha Uganda au Rwanda

Wanawake wa Rwanda wamenifanya ninatamani kwenda kutafuta maisha Uganda au Rwanda

Ningeulizwa Version sahihi ya mwanamke Africa mashariki na Kati inapatikana wapi bila kupoteza muda najibu ni RWANDA alafu ningeulizwa Why? Maelezo yangu yangekuwa haya Of course sitaki kuponda wanawake wa nyumbani(TZ) ila panapo ukweli inabidi usemwe bila kujali kuwa utaumiza. binafsi sijawahi kufika Rwanda ila nimekutana na wanyaRwanda waume kwa wake na hizi ndo sifa za mwanamke wa kinyaru kwa muonekano.
1. Ni mrefu. wakati mimi kwetu Namtumbo naonekana supertall lakini kwa mwanamke wa kinyaru napigwa knockout kwenye urefu
2. Sura na vichwa vina muundo uliopangika pua, mdomo na macho vipo kwa usahihi sio vikubwa wala vidogo
3. Shape ya mwili ni namba 8 na unakuwa ni mwili kweli sio kimbaumbau
4. Wana natural colour ukikutana na black ni black haswa sio mkorogo na white kweli ni white.
5. Mwisho kabisa ni papuchi samahani kwa lugha nikayoitumia papuchi zao wana kinembe kirefu na kuhusu maji wahaya wanasingiziwa.
Shout out kwa wanawake wote especially wanawake wa kinyaru.
Mmmh
 
ivi...shule bado tu hazijafunguliwa...
unajua katika maisha usiishi kwa kuangalia uzuri wa sura...
kuna viumbe vina sura nzuri ya kuvutia ila ndio vyenyo roho mbaya yenye maudhi.
kikubwa tabia njema...huruma...ucha Mungu...na heshima....mengine unaweza kuvumilia.

lakini kinyume na hapo ni karaha.
mahusiano ni pozo na tiba ya ugonjwa wa moyo...lakini ikiwa ni kinyume...mahusiano yanaweza kuwa ni chanzo kikubwa sana cha matatizo na migogoro. unaweza pia kuchanganyikiwa ikiwa tu utayaendekeza mahusiano.
 
Back
Top Bottom