Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu watakavyomuona akiwa ndani ya shela, lakini 1% ndio wanajua nini maana ya ndoa.
Zamani wanawake waliandaliwa kuwa wake, generation iliyopo sidhani kama unaweza kupata mke, zaidi ya kumtolea mahari bomu la kukulipukia na kukufanya uwe na Tatizo la afya ya akili.
Mpenzi/mchumba wako akiwa na sign ya kiburi, don't care, mashindano hapo kimbia hakuna mke bahati mbaya sasa kila utakaejaribu kudate nao 100% hawatofautiani wako ivyo ivyo...
"Enyi wazazi msiwape pressure watoto wenu katika uoaji kwa sababu utazungukaaa na hakuna muolewaji...."
Usijipe stress kupata mke, wakati ukifika hata ukiwa na 40's ndio uoe.
Nakushauri kwa nia ya kutibu tatizo la afya ya akili unaloenda kukutana nalo baada ya kujiingiza kwenye upuuzi huu unaoitwa ndoa,