Wanawake wa sasahivi wanapenda sherehe tu lakini ndoa hawaiwezi

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu watakavyomuona akiwa ndani ya shela, lakini 1% ndio wanajua nini maana ya ndoa.

Zamani wanawake waliandaliwa kuwa wake, generation iliyopo sidhani kama unaweza kupata mke, zaidi ya kumtolea mahari bomu la kukulipukia na kukufanya uwe na Tatizo la afya ya akili.

Mpenzi/mchumba wako akiwa na sign ya kiburi, don't care, mashindano hapo kimbia hakuna mke bahati mbaya sasa kila utakaejaribu kudate nao 100% hawatofautiani wako ivyo ivyo...

"Enyi wazazi msiwape pressure watoto wenu katika uoaji kwa sababu utazungukaaa na hakuna muolewaji...."

Usijipe stress kupata mke, wakati ukifika hata ukiwa na 40's ndio uoe.

Nakushauri kwa nia ya kutibu tatizo la afya ya akili unaloenda kukutana nalo baada ya kujiingiza kwenye upuuzi huu unaoitwa ndoa,
 
Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu watakavyomuona akiwa ndani ya shela, lakini 1% ndio wanajua nini maana ya ndoa.
Zamani wanawake waliandaliwa kuwa wake, generation iliyopo sidhani kama unaweza kupata mke, zaidi ya kumtolea mahari bomu la kukulipukia na kukufanya uwe na Tatizo la afya ya akili.

Mpenzi/mchumba wako akiwa na sign ya kiburi, don't care, mashindano hapo kimbia hakuna mke bahati mbaya sasa kila utakaejaribu kudate nao 100% hawatofautiani wako ivyo ivyo...

""Enyi wazazi msiwape pressure watoto wenu katika uoaji kwa sababu utazungukaaa na hakuna muolewaji".....

Usijipe stress kupata mke, wakati ukifika hata ukiwa na 40's ndio uoe.

Nakushauri kwa nia ya kutibu tatizo la afya ya akili unaloenda kukutana nalo baada ya kujiingiza kwenye upuuzi huu unaoitwa ndoa,
 
Mimi nimeoa 2020 mwaka wa 5 sasa najiskia burudani kupata huyu mke mnyenyekevu, mtiifu, pamoja kuwa ni Civil Servant ila anachapa kazi za nyumbani barabara na pia mshahara wake tunauweka kwenye mipango ya familia yetu. Ila kikubwa panapo faragha nampa mkuyenge kisawa sawa mpaka units za Dawasco zinasoma vizuri
 
Tatizo kina mama wa sasa ni matokeo ya uzazi wa mwendo kasi na wao wamezaa kimwendo kasi sasa hawa watoto wao nao ni mwendo kasi, kwa sasa hivi hakuna malezi ya kuwandaa mabint kuwa wamama bora wa familia wenyewe wanadai haki sawa hivyo hakuna majukumu ya mwanamke wala mwanaume, kifupi taifa linaharibiwa kimaadili na mashugamami magumegume yaliyo pata nafasi ya kusikika kwenye vyombo vya habari,

Sasa unaona mkeo amekaa anamsikiliza JOYCE KIRIA, gumegume lililo haribika kwa umalaya likaishindwa ndoa likaachika na lenyewe linaharibu wenzie unatarajia nini hapo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…