Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu,tabia ni MTU mwenyeweSikuhizi ni kila mahali, watu wapo kimkakati so wee nenda kwa umakini usione ukadhani
Kumbe nimebomoaga gu malikiti gwenu.... ihhhh... baghoshaaaaaAnko buji unatuharibia soko kwa introvet
Na kimkakatiWanawake wa Shinyanga na Singida wanakuwa wazuri kiumbo 😍
Ushaharibu🥺🥺Kumbe nimebomoaga gu malikiti gwenu.... ihhhh... baghoshaaaaa
Paka mapepe.. Hao inabidi ukichukua uwafanyie na featuring ya kilingeniUkitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
Hugo gu malikiti gunarekebika tu, jifunze kwa mke wa MasanjaUshaharibu🥺🥺
Hahah hahah wanawake wenyewe wawicha kinoma uwicha wa Gamboshi unashindanishwa na uwicha wa wapi?Paka mapepe.. Hao inabidi ukichukua uwafanyie na featuring ya kilingeni
Kunani Shinyanga? Wanachapwa sana mechi za nje eenheUkitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
Hapana, wana mkakati wao wa kimkoaKunani Shinyanga? Wanachapwa sana mechi za nje eenhe
Nilidhani mtu akistaafu na madini yake nayo yanastaafu, kumbe sio kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Paka mapepe.. Hao inabidi ukichukua uwafanyie na featuring ya kilingeni
Paka mapepe.. Hao inabidi ukichukua uwafanyie na featuring ya kilingeni