Wanawake wa siku hizi mmekua wepesi kutongozeka hadi mnaboa

Umetia huruma sana mkuu, pole kama nimekutonesha, dhamira yangu ilikua kufikisha ujumbe tu. Samahani kama nimetumia namna mbaya.

[emoji120]
 
Sasa kama mtu kakutongoza umempenda umuwekee ugumu Wa kazi gani? mambo mengine kuchoshana tu watu wazima.Mapenz hayana formula.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]

Umenifurahisha kwa kuwa bayana. Unaniruhusu nije PM?[emoji3]
 
Ulikuwa na haja gani ya kutaja wanapofanya kazi.

Kabla hujaleta kitu humu tafakari kwanza.
Hajataja sehemu wanafanyia kazi mashirika ya ndege yapo zaidi ya moja,ofisi za umma zipo zaidi ya moja.haya kataja wapi???bank teller kuna bank zaidi 20 tz.elimu elimu elimu
 
Mkuu mbona hujapewa bure?

1. Vocha 10,000
2. Tips
3.Gharama ya msosi na nauri

Ukae ukijua jinsi wewe ulivyo na hamu na wao wana hamu hivyo hivyo.

Na hilo gari ndio unalitumia kama ndoano ya kuwanasia...too bad huo ni mtego wa wanawake wa Dar...huku bara ungesota sanaaaa
 
Ifike mahari tukubaliane ukipewa k shukuru, sio kulalama eti ni very cheap
Wanafanana kwa namna moja au nyingine
 
Ukipewa shida, ukinyimwa shida. Unataka nini? Wasio na usumbufu inabidi umwongezee per diem!
 
Unatunza hela bank,
Una gari
Una business card
Elfu kumi kwako sio tatizo.
Nimekuelewa sana mkuu.
 
Wanawake wa siku hizi ukitumia hela kidogo tu kwake umemaliza mchezo asubuhiiiiii. By the way, wanawake waliumbwa kwa ajili yetu wanaume, kwahiyo ukiwa na lengo la kula papuchi nyingi utazila sana mpaka utazikinai.
MPE hela mwanamke,mwanamke anatongozwa kwa hela tu.
Wanawake na hela is like the two faces of the same coin.
 
ukisema mtoto haitoshi mpaka awe mtoto mkali, inaonesha mtu wa misifa wewe, hongera kwa kugawa posho!
 
Unapewa kirahisi kwa sababu ukimwi hauna gharama, ukiwa na tamaa tu umeupata. Ukianza kukohoa ulete mrejesho mkuu tukupe R.I.P
 
Hio ya juu ni edited red haikuwepo, original niliyo-quote mimi ni hapo chini

Easter monday natoka Tanga kuwasalimu wazazi, kufika Segera mpiga debe mmoja jamaa yangu akaniambia kuna kichwa cha Dar, kucheki hivi ni mtoto mkali akataka akae back seat nikamwambia hapana aje mbele, tukaondoka ila sikuongea kitu kwa kama dk 3 hivi asione nimepanick, tukafika kobil pale hotelini chalinze nikamuomba tukale akawa anaona nishai, baadae akakubali, tukala nikalipa, kufika kimara temboni akatoa nauli yake ili anilipe nikakataa, nikachombeza hapa na pale, nikaenda nae kwangu nikapiga siku hiyohiyo hadi asubuhi, huyu ni mhasibu Shirika flani la Umma
 
Hahahahahahaha una nyota ya ukimwi ndugu
 
Ikiwa ni kweli umetaja sehemu halisi wanapofanyia kazi utakuwa bwege na mseng. Kwa nini unadhalilisha dada zetu? Ikiwa wewe ulikuwa na hamu unadhan wao hawana? Au mbona wewe nawe ulikubali ku du nae same day?
Embu msemee
 
Kila kitu kiko fast....unataka ufuatilie demu miaka mitatu kwani huna kazi nyingine wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…