torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
labda ndinga ilikua inachomoka kama ndege?!Hukuongea kwa dakika 3 mpaka mlivyofika Chalinze? Sijaelewa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda ndinga ilikua inachomoka kama ndege?!Hukuongea kwa dakika 3 mpaka mlivyofika Chalinze? Sijaelewa hapa
Dada mahubiri tena?! Dhambi hiyo nishatubu. Mungu anisamehe tu kwa kweli kwani yeye ni mwingi wa rehma! My Confession..
Kwema lakini?
The sad part is that it is a mans world, so men and women don't get judged on the same moral standards.[/QUOTE]OTE="Heaven Sent, post: 15746197, member: 173866"]yeye ndo cheap au wote wawili ni cheap?
But who is more foolish, the fool or the fool who follows him?
Daah ukweli kabisah yaniNa sio mwanamke akiwa mwepesi kwako basi ni mwepesi kwa kila mwanaume
wewe unaweza kumpata leo leo huku mwenzio ana mwaka wa pili anabembeleza
Wawe wagumu wapi acha wawe rahisi wengine tuponeHabarini za siku nyingi wana jamvi!
Kwanza nitoe 'disclaimer' msije mkanishambulia, kwamba huu ni mtazamo wangu na si msimamo wa wanaume wote.
Ila kiukweli mmekua wepesi hadi mnaboa ingawa sio wote.
Tazama scenario hizi...
Juzi nilikua mgahawa mmoja jijini nikamuona binti mkali pembeni yangu nikaomba nimjoin akakubali, kuna time akapigiwa cm na mama yake bht mbaya cm ikakatika, akaniomba atoke pembeni akanunue vocha ili ampigie, nikamwambia hakuna haja na palepale nikamtumia 10,000 tigopesa akajiunga ndio ukawa mwanzo wa kufahamiana, kesho yake nikapiga, huyu ni sales executive wa shirika flani la ndege
Siku nyingine nipo kwenye que bank, ilipofika zamu yangu nikamchekesha kdg yule teller, baada ya kunihudumia nikampa tip na bussines card, baada ya siku 2 nikampitia.
Easter monday natoka Tanga kuwasalimu wazazi, kufika Segera mpiga debe mmoja jamaa yangu akaniambia kuna kichwa cha Dar, kucheki hivi ni mtoto mkali akataka akae back seat nikamwambia hapana aje mbele, tukaondoka ila sikuongea kitu kwa kama dk 3 hivi asione nimepanick, tukafika kobil pale hotelini chalinze nikamuomba tukale akawa anaona nishai, baadae akakubali, tukala nikalipa, kufika kimara temboni akatoa nauli yake ili anilipe nikakataa, nikachombeza hapa na pale, nikaenda nae kwangu nikapiga siku hiyohiyo hadi asubuhi, huyu ni mhasibu Shirika flani la Umma
Hii ni mifano michache tu kati ya mingi...sasa dada zetu muwage wagumu hata kdg basi, manake mkikubali mapema sana mnatutia mashaka. Ingawa msitusumbue sana pia coz inaboa[emoji1]
Mkuu umenigusa sana, yashaanza kunitokea mimi, najuta sana kweli malipo ni hapa hapaMungu atusaidie na kutuhurumia,kwa maneno hayo huko nikutudhalilisha sna maana umatuona maharage ya mby.
Kumbuka umesema ulikuwa unawachombeza,hapo sijaelewa ulikuwa unawatania au unawahitaji kweli?
Nimegundua upo hapo kwa lengo la kuumiza wanawake.
Asante kwa kutuonya ila unachofanya sio kizurii.ipo siku utahitaji kuoa hutapata mtu na ukipata hatokuwa yule unae muhitaji.
This is such a terrible experience mkuu...ndivyo walivyo hawa, ukisema unaonekana mbayaNakuunga mkono mtoa mada. Ni kweli dada zetu wanatoa fursa kirahisi sana si kama zamani. Naomba kushea xperience yangu ya leo japo inaweza kuwa tofauti kdg na dhana ya mleta mada. Leo bana niliamka nimevurugwa nikasema niende massage parlour moja hivi kuweka mwili fresh. Kuingia nae room mtoa huduma akaniambia nivue nguo zote.. Nikamkatalia nikamwambia the best I can do ni kuvua suruali tu nitabaki na boxer. Akasema sawa.... Wakat zoez linaendelea, nikamwona anavuka mipaka, nikamweleza mie sijaja kwa hizo mambo, akaniambia kaka yangu nimebanwa naomba unisaidie.. sitokuchaji hata mia! I was like WTF*** but shetani ana nguvu sana, nikambidua na kakamwaga mma si kitoto! Mpk jioni hii najiuliza wht the hell was that??? So cheap!
Mkuu soma vizuri, umetoka usingizini nini?[emoji23]Hukuongea kwa dakika 3 mpaka mlivyofika Chalinze? Sijaelewa hapa
Muwage mnasoma mkiwa na utulivu sio mnakurupuka jamani, rejea uzi wangu uone kama nimeandika hivyo. Unless kama una story yako mwenyewe.labda ndinga ilikua inachomoka kama ndege?!