Wanawake wa siku hizi mmekua wepesi kutongozeka hadi mnaboa

Ur so cheap tooo..unashikwaje mwili mzima afu utegemee kutoka mzima,mbuzi kwa mtengeneza supu
 
sasa hapo we ndiyo mrahisi umetongozwa ukatongozeka na ukamkojoza so we uache kuwa cheap
 
Mbona hata wewe ni mwepesi vilevile ungekua mwanaume mgumu usingekubali kumpitia kila kkahaba unayekutana nae,hivyo basi ndege wafananao huruka-------
 
kwa kuipa uzito jamaa ulitumika kama dido ..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka watu wamenigeukia ww mkal
mkuu yani hakina haki kabisa manynyaso yamezidi... utafikiri sisi hatuna hisia jamani.. wanume jueni na sisi wanawake tuna nyege sema tu huwa hatusimamishi kama nyie. .. mnapotutongoza jueni tuna hamu, au tumevutiwa pia na nyie au tuanataka kumaliza mihemko kwa muda na kama hutaki hayo ya nini unatongoza
 
tatizo zamani mlikuwa wagum ila siku hizi mmekua walaini sana ukitongoza asubuhi jioni unapewa mzigo afu mmekifanyia mno kitega uchumi japo si wote mpo kimaslah zaidi alafu wanaume wengi wamekua Mario sana wanataka kupiga bure
 
ha haha hao wakupiga bure ni wengi balaa.. mmhh ngoja nikifungie
 
ha haha hao wakupiga bure ni wengi balaa.. mmhh ngoja nikifungie
haaaaaaaa msingi kiuno [emoji23] [emoji23] ndiyo maana vijana wanahangaika sana kutafuta nguvu za kiume kuwaridhisha madem hili janga dada yangu kwa sasa ukitangaza hata mavi ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume watakula haaaaaaaa umario umezidi bora ukifungie piga padlock kabisa haaaaaa
 
ha ha a ha sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…