Wanawake wa siku hizi nani kawaroga?

Wanawake wa siku hizi nani kawaroga?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Hawa wanawake nawashangaa sana. Naandika hapa kwa masikitiko makubwa, naomba na wewe unaye soma usome kwa masikitiko pia.

Hivi hawa wanawake kwanini ndio wanao ongoza kwa kupoteza simu? Hasa hawa wasio kunywa kilevi. Unakuta mtu analalamika eti simu sijui nmeisahau pale nilipokua nimekaa.

Najiuliza yale mabegi wanayo tembea nayo yanakazi gani? Unakuta ana begi sijui ndo mkoba, ndani yake kuna pochi, ndani ya pochi kuna pochi na ndani yake ndo kuna simu na simu yenyewe kaifunika na kitambaa eti isichafuke. Pamoja na kuihifadhi mbali bado utakuta screen imepasuka mara mfuniko wa betri haukai vizuri sijui inagoma kuwaka na kuzima.

Mbona sisi wanaume simu tunadumu nazo hadi zinachakaa? halafu mnasema wanaume hatujui kutunza vitu. mnaniudhi.

Lakini baada ya mwezi utasikia simu imepotea. Tatizo lao hata wakinyang'anywa njiani utasikia "peleka tuone kama shida zako zitaisha" haombi hata msaada. Yaani hawana uchungu na simu zao.

Basi wawe wanatumia simu za tochi kama walevi lakini hawataki. Wanaoongoza kwa kupoteza simu ndo hao hao wanataka simu za bei ghari.

Mimi nahisi wamerogwa.

Samahani dada zangu, Nawakalipia ili muwe makini na simu zenu. Mnawapa tabu wapenzi wenu kila mwezi kununua simu.

Pamoja na hayo yote bado nawapenda sana. Mmwaaaa....!!!!. mia

CC: my sweetheart Heaven on Earth, Baba lao kabanga Mh. everlenk mwallu Mapi Munkari Magurudumu
 
Last edited by a moderator:
figganigga, hawa wanawake ni mama, binamu, dada, wachumba, wake, mashemegi na wapendwa wetu kwa ujumla wake, lakini likija suala la matumizi ya simu hapo umesema ukweli kabisa, achana na lakupoteza mtu anaweza kutuia simu muda mfupi sana kisha eti ameichoka haipendi anataka nyingine.....mia
 
Au tukawapeke kwa Gwijima waombewe?. mia
 
hivi simu wananunua wapenzi ee?

ok..simu yangu imepasuka kioo

mpenzi wangu naomba ninunulie simu
 
hivi simu wananunua wapenzi ee?

ok..simu yangu imepasuka kioo

mpenzi wangu naomba ninunulie simu
Hawasemi hivo, wanasema "simu yangu imepasuka kioo, ukinipigia usinipate usilalamike". hiyo inamaana anataka simu mpya. mia
 
figganigga, hawa wanawake ni mama, binamu, dada, wachumba, wake, mashemegi na wapendwa wetu kwa ujumla wake, lakini likija suala la matumizi ya simu hapo umesema ukweli kabisa, achana na lakupoteza mtu anaweza kutuia simu muda mfupi sana kisha eti ameichoka haipendi anataka nyingine.....mia

Yani Kama mnanisema mie jmosi iliyopita nilisahau simu yangu Duka la nguo za watoto tena niliweka password maana wakashindwa kunitafuta kuja home nimeshamaliza kufturu ndio nakumbuka simu nachek pochi hakuna narudi pale dukani wamefunga na jpili hawafungui ikanibidi jtatu niende asubuhi nashukuru niliikuta pale duu sijui uzembe au kuputiwa tu
 
Last edited by a moderator:
Me namshukuru Mungu huwa nipo makini sana na simu. Sema kwa kuzidondosha tu chini sijambo mbona

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana mkuu. mia
 
Me namshukuru Mungu huwa nipo makini sana na simu. Sema kwa kuzidondosha tu chini sijambo mbona

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sipati picha hiyo screen ilivyo lol. mia
 
Back
Top Bottom