Wanawake wa siku hizi nani kawaroga?

Wanawake wa siku hizi nani kawaroga?

Kaaa mbona mmetuandama ivo kila saa wadada wadada tumewakosea nn jaman
Pole sana dada yangu kwa kuandama. Nia yangu ujirekebishe. Comment zisome kiroho safi hata kama zinakugusa. Luv u..mmwaaa...!!!. mia
 
akipata mpenzi mpya anataka na simu mpya
Halafu kama wewe ndo umeachwa anakurudishia simu. Anakuambia "kwani unaniumbua sumbua nini, sitaki unipigie simu, au kwakua ulininunulia hili kopo lako nawe waliita simu..eeh?? chukua takataka yako" Hapo ashanunuliwa simu mpya, muda si mrefu kama miezi mitano itapotea au kunyang'anywa. baada ya siku mbili baada ya kunyang'anywa utasikia simu inaita. Mara "mambo? siku hizi umenisusa kweli, hata simu hupigi?

Mwenzio nipe pole, simu yangu nimeibiwa hapa nilipo nina hasira kama nini. Huna simu ambayo huitumii uniazime kwa siku mbili tatu'. Makubwa!. mia
 
wengine huwa tunatumia simu hadi innazeekea mkononi,tangu nianze kudandia mabasi huwa naonaga tu watu wanaibiwa
hata sielewi inakuwaje nshaibia sh mia tano tu tena niliiweka kizembe so sikumlaumu mtu
Ni wachache sana wenye akili na wanajielewa kama wewe. Watu kama nyie mnafaa kuwa Mke. mia
CC: Mapi
 
Last edited by a moderator:
Halafu kama wewe ndo umeachwa anakurudishia simu. Anakuambia "kwani unaniumbua sumbua nini, sitaki unipigie simu, au kwakua ulininunulia hili kopo lako nawe waliita simu..eeh?? chukua takataka yako" Hapo ashanunuliwa simu mpya, muda si mrefu kama miezi mitano itapotea au kunyang'anywa. baada ya siku mbili baada ya kunyang'anywa utasikia simu inaita. Mara "mambo? siku hizi umenisusa kweli, hata simu hupigi?

Mwenzio nipe pole, simu yangu nimeibiwa hapa nilipo nina hasira kama nini. Huna simu ambayo huitumii uniazime kwa siku mbili tatu'. Makubwa!. mia

Utahitaji???

understandingwomen.jpg
 
Aaaah.... Mie tangu nimeanza kumiliki simu 2004, nimeshapoteza simu 3 tu! Tena katika mazingira yaliyo nje ya uwezo wangu....

Otherwise huwa nadumu sana na simu, but maximum 1 year nabadili

asa 1year ndio kudumu nayo...?
 
Duh! Ndo umeamua kunisemea huku? Ila si useme ukweli tu kwamba simu zangu huwa nanunua mwenyewe? Ntajitahidi kubadilika.mia
 
Apo bado hatujawaachia wtt wakaziweka ndani ya ndoo za maji. Lol

Kuna mmoja mwanae aliiweka kwenye fridge
 
Back
Top Bottom