mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
Huwa hulali? mia
Nalalaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa hulali? mia
Basi ule wakati umelala ndo uombe simu, sio unaomba simu ukiwa kwenye daladala. miaNalalaga
Basi ule wakati umelala ndo uombe simu, sio unaomba simu ukiwa kwenye daladala. mia
Basi ule wakati umelala ndo uombe simu, sio unaomba simu ukiwa kwenye daladala. mia
Sipati picha hiyo screen ilivyo lol. mia
Njoo leo jioni nmefungua. Hata ukikuta mlango umerudishiwa we sukuma tu utafunguka naweza nikawahi kulala.:wink2: mianashukuru Mungu hujanitaja maana ungethubutuuuuu ningekupa neno hili :
UFUNUO 3:20:
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha, mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami."
hahahahahahahahahahaaaaaa.....!!!!. Umenipa raha sana. miaHahaha kwa nyuma tu ndo nshawahi kuibamiza hadi mfuniko ukapasuka. Sema haya ma-cover ya simu yananisaidia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahahahaaaa....!!!. mia
Hawasemi hivo, wanasema "simu yangu imepasuka kioo, ukinipigia usinipate usilalamike". hiyo inamaana anataka simu mpya. mia
Omba mwenyewe lol. mia
Simu wanaombea kunako sita kwa sita sio barabarani wala chit chat. mia
CC: @Khantwe
Napokea kwa imani.....mia
Ahahahahah...pokea Aina Kali zilizopo na zijazo...pokea kwa idadi ya mikono yako...pokeaaaa
Hahaha sasa mheshimiwa wii hizo kamba lol...mbona nna mashaka na maombi yako?
Hebu kuwa na imani kwanza....ebo
Mmmhh...haya. Roho mtakatifu anakuambia ntazipata lini hizo simu?
Au tukawapeke kwa Gwijima waombewe?. mia