Wanawake wa siku hizi nani kawaroga?

Wanawake wa siku hizi nani kawaroga?

nashukuru Mungu hujanitaja maana ungethubutuuuuu ningekupa neno hili :

[h=3]UFUNUO 3:20:
“Tazama, nasimama mlangoni, nabisha, mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.”[/h]
 
halafu useme maneno haya ndani ya simu wakati unapigiwa:

[h=3]HOSEA 14:2:
"Chukueni maneno pamoja nanyi, mkamrudie BWANA, mkamwambie Ondoa maovu yote, uyatakabali yaliyo mema; na hivyo ndivyo tutakavyotoa sadaka za midomo yetu kana kwamba ni ng'ombe."[/h]
Basi ule wakati umelala ndo uombe simu, sio unaomba simu ukiwa kwenye daladala. mia
 
nashukuru Mungu hujanitaja maana ungethubutuuuuu ningekupa neno hili :

UFUNUO 3:20:
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha, mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami."
Njoo leo jioni nmefungua. Hata ukikuta mlango umerudishiwa we sukuma tu utafunguka naweza nikawahi kulala.:wink2: mia
 
Hahaha kwa nyuma tu ndo nshawahi kuibamiza hadi mfuniko ukapasuka. Sema haya ma-cover ya simu yananisaidia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahahahahahahahahaaaaaa.....!!!!. Umenipa raha sana. mia
 
Ahahahahah...pokea Aina Kali zilizopo na zijazo...pokea kwa idadi ya mikono yako...pokeaaaa

Hahaha sasa mheshimiwa wii hizo kamba lol...mbona nna mashaka na maombi yako?
 
Waambie, wengi wanajua kupiga, kupokea, kutuma sms, kupiga picha na kuziangalia... halafu anataka simu ya milioni moja..

Kesho tu kaipoteza anataka nyingine... 100!
 
Back
Top Bottom