Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Basi ntampeleka Khantwe na Heaven Sent tu. Hata wakipata hizo mimba wana uwezo wa kustahimili. mia
Nataka nikawaombee kwa gwijima. miaAtiii utupeleke wapi hahaha? mia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nataka nikawaombee kwa gwijima. mia
Mimi nataka nikuombee wewe tuu. Sasa wawili ntawaombeaje? Bora mmoja nimpeleke akaombewe na gwijima. But wewe ntakuombea mwenyeeeweeee hadi upandishe mzuka. miaAkhuuuu kwani wewe huna upako wa kutuombea hadi utupeleke huko? mia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yani Kama mnanisema mie jmosi iliyopita nilisahau simu yangu Duka la nguo za watoto tena niliweka password maana wakashindwa kunitafuta kuja home nimeshamaliza kufturu ndio nakumbuka simu nachek pochi hakuna narudi pale dukani wamefunga na jpili hawafungui ikanibidi jtatu niende asubuhi nashukuru niliikuta pale duu sijui uzembe au kuputiwa tu
Mimi nataka nikuombee wewe tuu. Sasa wawili ntawaombeaje? Bora mmoja nimpeleke akaombewe na gwijima. But wewe ntakuombea mwenyeeeweeee hadi upandishe mzuka. mia
Siku yako leo ipoje mkuu? Baadae inabidi kukatembee. miaHahahhaha basi sawa mtumishi. Mia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Siku yako leo ipoje mkuu? Baadae inabidi kukatembee. mia
Poa poa. Usisahau basi, sawa? Hivi PM yangu hujamaliza kuisoma tu? mbona hujibu. miaAyaaaaa mtumishi si nimechelewa kuona ujumbe wako, duuh kumbe leo ningepata kamtoko ajajajaja na nimeshinda nimelala balaa leo. Itabidi tukatembee tu next weekend. mia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
figganigga mbona sijaona PM zako jamani? MiaPoa poa. Usisahau basi, sawa? Hivi PM yangu hujamaliza kuisoma tu? mbona hujibu. mia
Njoo leo jioni nmefungua. Hata ukikuta mlango umerudishiwa we sukuma tu utafunguka naweza nikawahi kulala.:wink2: mia
Hata wewe karibu tucheze dat. miaHaaahah umenifurahisha