"Wanawake wa siku hizi wanadeka sana"

"Wanawake wa siku hizi wanadeka sana"

siamini kama kudeka ndo kuansababisha watu wajifungue kwa operation. Mie nimefanya kazi hadi siku ya mwisho kabisa, nimetoka ofcn kufika tu home nikaanza labor pain, lakini bado nlijifungua kwa kisu. Na you men are just talking, hamuujui uchungu wa kuzaa nyie acheni kujiongelesha yasiyo kuwa na maana. I wish one day Sir God angehamisha kauchungu kidogo tu kwa wababa, ndo mngejifunza kutuheshimu
 
Ni kweli kabisa hatuna mimba ila ukituangalia utafikiri tunazo. Uvivu umetujaa.
 
siamini kama kudeka ndo kuansababisha watu wajifungue kwa operation. Mie nimefanya kazi hadi siku ya mwisho kabisa, nimetoka ofcn kufika tu home nikaanza labor pain, lakini bado nlijifungua kwa kisu. Na you men are just talking, hamuujui uchungu wa kuzaa nyie acheni kujiongelesha yasiyo kuwa na maana. I wish one day Sir God angehamisha kauchungu kidogo tu kwa wababa, ndo mngejifunza kutuheshimu

Nawaheshimu sana!
Na vile vile naelewa hiyo labor pain japo sijafeel physically but morally, coz nimeshaingia labor kumshuhudia my own wife aki-deliver.

Nilichokieleza kwenye mada ni maoni ya mtaalamu kutokana na sababu za kitaalam kwa jinsi anavyoona na pia mtazamo wa wengi katika jamii.
 
Kweli wengi wavivu na kudeka kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom