Wanawake wa siku hizi wengi wao hawabebi kanga wala kitambaa cha kujifutia wanapokwenda faragha na wenza wao

Wanawake wa siku hizi wengi wao hawabebi kanga wala kitambaa cha kujifutia wanapokwenda faragha na wenza wao

Status
Not open for further replies.
Vijana wa SIKU HIZI tunaongeaongea hovyo mambo ya "ndani ya ikulu" na ndio maana TUNAFAIDI JUUJUU....

Nilishawahi kumuuliza bibi kizee mmoja iwapo km tabia za wanaume wawepo FARAGHA zimebadilika...

Bibi akanijibu..."tulipokuwa ndani huyafanya na kuyaacha humohumo kwani tulikuwa tunafanya mengi ambayo vijana wa siku hizi huona kuwa ni taboo ila tukiyamaliza hatuyatoi nje"

Aliniambia BIBI ZAO walikuwa wanawafundisha "Siri kali za kitandani ambazo kamwe hata mume haelezwi"...

Leo hii YANAMWAGWA ya Siri....tena wanaoongea ni "wanaume kuhusu wanawake"

SHAME TO US....
 
Kwani hazisubiri ndoa?
Hakuna wanao oana bikra?
wewe na ukoo ama familia yako kama ni kizazi cha zinaa si kila mtu, eboo!
Unazungumzia nyege hizihizi au nyingine!
Ingekiwa rahisi hivyo si kila mtu ungemkuta na bikira
 
siku hizi vyumba vyote ni self kwa kila kitu hata gheto zina maji na choo safi kabisa
sasa mtu mmetoka makazini pochi za kisasa unaficha khanga khaa
vijana mbadilike, sio kila pagale umuingize mwenzako, tafuteni sehemu ya heshima kujisitiri
 
Mambo yanakwenda kasi sana!

Siku hizi wanawake waliowengi hawabebi vitambaa wala kanga za kujifutia baada ya kufanya mapenzi!

Sielewi wamepatwa na nini!

Mwanamke wa dizaini hii nilikuwa nikikutana naye asipokuwa na kanga, basi Mimi nilikuwa najifutia chupi yake!
Sasa siku hizi hali imekuwa ngumu zaidi baada ya wengi wso kuacha Kabisa kuvaa hata chupi zenyewe, Na hata wakizikumbuka wanavaa zile chupi za tandabui kama barakoa ambayo huwezi hata kujifutia!

Hakika wanawake mumeamua Lakini Poa!
Akizingua ww uwe unabeba Tishu kuonesha upo serious
 
Abebe kanga ya nn mkuu?
Siku hizi mambo ni self contained!
 
Mi Kuna mmoja huyo Yani yeye anataka awe anajifutia hata t-shirt zngu....Kuna siku nilitaka kumpiga vibao
 
Duh ninoma sana udambwiudambwi unabaki nao mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom