Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wenzio wanataka wawe huru kama vile wapo single. Ataenda mbali mpaka kudanga wakati ana mume yani afanye uchafu wote anaojiskia bila kufuatiliwa au kuulizwa. Hapa ndipo utata unapoanzia ila napenda mtu alie real with herself! Hongera sana japo wenzio watakuja kupingana sana na mtazamo wako. Mwisho wa siku ibaki kuwa mtu akishindwa jambo fulani ni yeye na hawezi kuwa SI Unit ya wengine kushindwa.Mwanamke gani huyo hataki ndoa???? Hiiiiii jamani Mimi ndoa naitaka tena mnooooo hivi kuna raha nyingine tofauti na ndoa??? Msiiiew ukiona mtu anasema hataki ndoa mnafiki huyooo mwongoo eti hataki kua chini ya mwanaume pyeeeee ....
Sent using Jamii Forums mobile app