Wanawake wa sikuhizi nani amewaroga?

Wenzio wanataka wawe huru kama vile wapo single. Ataenda mbali mpaka kudanga wakati ana mume yani afanye uchafu wote anaojiskia bila kufuatiliwa au kuulizwa. Hapa ndipo utata unapoanzia ila napenda mtu alie real with herself! Hongera sana japo wenzio watakuja kupingana sana na mtazamo wako. Mwisho wa siku ibaki kuwa mtu akishindwa jambo fulani ni yeye na hawezi kuwa SI Unit ya wengine kushindwa.
 
Amini nakwambia haohao atoke mtu serious akatangaze ndoa mahari alipe hawachomoi wanaolewa na kiduku wanacheza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kusema hawataki ndoa kwa kuwa wa kuwaoa hawapo? That's not true, mimi mwenyewe na kupenda kwangu ndoa atoke mtu from nowhere akajilipishe mahari bila makubaliano na mimi simuelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya uhuni yana muda wake .....na inafikia stage inabidi yaachwe......binafsi ni mtu ambae kitabu cha imani yangu ya dini hakipo mbali so karibia kila siku nakisoma ....ninachojua Mimi uzinzi dhambi na chukizo mbele ya muumba ......so siwezi kuwa nafanya uchafu tuuuuu siku zote za maisha yangu kwa kweli hilo hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaahahahah ila akija unaempenda unakubal? Sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah namkubali, kumbuka nimekwambia mimi si mmoja wa hao unaowasema ila kuhusu wao ndio sijui. Halafu wewe bwana mawazo yako, ingekuwa mtu akienda moja kwa moja kutoa mahari hakuna wa kuchomoa wanaume si wangekuwa wanatumia sana hiyo strategy, wangekuwa wanahangaika kutongoza? Si anamspot tu Jokate pale anapeleleza kwao wapi analipa mahari anajibebea chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwahiyo unataka kusema umeshayaishi maisha ya uhuni tayari, yaani umeshayapitia sasa hivi umeacha ???
 
Hahahahahahahaahah dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mama, leo nimepata mtazamo wa toufauti sana toka kwako. Kumbe wanawake wenye akili bado wapo ila siku zingine unajifanyaga chizi humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ no Dis!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…