Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

10. wavivu kufanya kazi
11. wanapenda kupiga umbeya vibarazani..
12.
Historia inaonesha Pwani yote wanawake hawakujishughulisha na shule kwa kutegemea hilo ni jukumu la mwanaume. Mwanamke yeye alipofikia umri wa kuchezwa aliolewa haraka, na kazi yake kubwa ni kushinda nyumbani kubuni mambo mapya ya kumfurahisha bwana kila anaporudi nyumbani jioni.

Ndiyo maana hukaa vibarazani wao kwa wao kubadilishana uzoefu.....Kidogo kwa miaka ya hivi karibu tunawaona wakinamama kama akina Mwantumu Mahiza wakisoma mpaka elimu ya juu na kuchukua nafasi za wanaume...
 
Niko Tanga kikazi familia ipo dar nina mke na watoto wawili nampenda sana mke wangu......Ila nahisi kwa mara ya kwanza baada ya miaka kama 4 hivii Nitatumia Service Road.msiniulize kwa nini.
Mentor arawa sikupati kwenye simu

Angalia usijebaki hukohuko ukatelekeza familia, wadigo sio wakufanyia jaribio, ushaambiwa mengi na wakulu hapo sasa bado unataka kupita service road shauri yako
 
Last edited by a moderator:

Nimecheka sana
 
Kila siku naambiwa nisije kujaribu kuoa mwanamke wa PWANI.
 
ila kwenye swala la kugegeda aaaaah utapenda unakuta papuchi,safiiii kama ndio mzeee wakaterero utapenda mwenyewe alafu zinakuwa kama zina nyooo dushelele awa Watato is so sweet bhana unapiga mambo hadi unajiskia
 
Sio wote ni wengi wao,hata hao wadigo wapo ambao ni wachamungu kwelikweli

Ngojq akawekwe kwenye chupa hatorudi huyo


Sio wote mim n mdigo shule kwangu n bora zaidi alhamdulillah elim ya dini ipo ya elimu ya dunia ninayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…