Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,786
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kicheko chako mie hoi... umeolewa kweli Mamaafacebook
Ahhah sijaolewa vipi kuna mtu anataka mke huko
Kwan nmechanganyikiwa mpaka nimtafute huyo mtu... nataka kuja kutoa posa mwenyew nkuweke ndani
Historia inaonesha Pwani yote wanawake hawakujishughulisha na shule kwa kutegemea hilo ni jukumu la mwanaume. Mwanamke yeye alipofikia umri wa kuchezwa aliolewa haraka, na kazi yake kubwa ni kushinda nyumbani kubuni mambo mapya ya kumfurahisha bwana kila anaporudi nyumbani jioni.10. wavivu kufanya kazi
11. wanapenda kupiga umbeya vibarazani..
12.
Unauliza makofi polisi wakati udokozi unaendekeza....nilisikia eti kuna mtu alipewa penzi zito hadi mapumb# kuwekwa kwenye kisosi
Unauliza makofi polisi wakati udokozi unaendekeza....
Niambie ulichojifunza
Ahhahha sasa mbona kuna mwwnzio naye yuko mbiobi kuniweka ndani
Niko Tanga kikazi familia ipo dar nina mke na watoto wawili nampenda sana mke wangu......Ila nahisi kwa mara ya kwanza baada ya miaka kama 4 hivii Nitatumia Service Road.msiniulize kwa nini.
Mentor arawa sikupati kwenye simu
kwamba unaweza kujifunza hata ukiwa mzee....mapenzi
ah kumbe mbioni, kishachelewa huyo... mi ndo nimefika
mkuu umenikumbusha mwanamisi mtoto wakidigo. wengi wao ni wazuri wa shape na sura ila wanapenda sana mambo ya chini. kama huna uwezo wa kupiga game mara 7 kwa siku umekwisha!!! kwa kuongezea tu wengi wao hawana akili za kimaendeleo katika maisha( maendeleo yao ni papuchi tu). kwao ni bora atumie kiasi chochote cha pesa kukarabati papuchi kuliko kuanzisha biashara halali. mkuu kama unataka kuoa mdigo sikushauri utakufa masikini.
H a ha ha ha ha aaa aiseee7. Wanapenda kwenda kwa waganga wa kienyeji.
8. Wepesi sana kuchepuka.
9. Madawa kienyeji nyumbani kama pharmacy.
9.
7. Wanapenda kwenda kwa waganga wa kienyeji.
8. Wepesi sana kuchepuka.
9. Madawa kienyeji nyumbani kama pharmacy.
9.
Kila siku naambiwa nisije kujaribu kuoa mwanamke wa PWANI.
Sio wote ni wengi wao,hata hao wadigo wapo ambao ni wachamungu kwelikweli
Ngojq akawekwe kwenye chupa hatorudi huyo
Mkuu naunga mkono hizo ndio tabia za wanawake wengi wa kidigo hawawazi maendeleo kabisa, shule ni kituo cha polisi, mwanaume ndio kitega uchumi kwao mapenzi ndio kila kitu,wanapenda sana waganga,mimi nina ndugu kaoa mdigo mpaka namhurumia hata akiumwa malaria anapelekwa kwa mganga, yani muda wote wanawaza wamerogwa,maendeleo hakuna