punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Mkuu hata ungeishi kabisa tanga hakuna ukweli wa haya wanayokazania humu. Kama wanabisha waje wajibu haya maswali yako! Niko tanga miaka kibao... Hawawezi kunidanganya, kuna maswali kama haya yako nimewauliza huko juu lkn nina hakika hakuna mtu atakayeyajibu, au labda wanashauriana waje na uongo upi!!Mi naendaga tanga mara kwa mara lakini sijawahi kukutana na haya manyoyazungumza humu, au kwa kuwa huwa nakuwa kikazi zaidi? Kuna maeneo maalum ambapo hizi huduma hupatikana?
Pale unaposikia mapenzi ya wanawake wa kitanga (sio hawa waliochakachuliwa na maisha ya kimjinimjini) wale orijino yanachanganya wanaume ukadhani labda watu wanatania, ni kweli.
Mwanamke akihongwa hela atahakikisha anakupatia huduma-wewe mwanaue uiyemhonga-inayoendana na thamani halisi ya hongo uliyompatia. Atakupatia mahitaji yako na 'kukuhudumia' kwa kiwango kinachoendana na gharama halisi ulizotoa-utakula chakula kizuri na kitamu, ikibidi atakununulia zawadi za kawaida lakini zenye kuukonga moyo wako. Kama huyo ni nyumba ndogo yako basi kuna uwezekano mwanaume ukahamishia makazi kwake, au kama ni mpenzi, jiandae kuoa tena kwa wewe mwanaume kushinikiza ndoa kwa haraka. Kifupi ni kama anaikurudishia hela yoooooooooooote uliyomhonga kwa njia ya huduma bomba na zenye viwango.
Wako tofauti sana na wanawake wa mikoa mingine ya TZ ambao leo ukimwambia atumie gari lako kurudi kwao, kesho ataomba umnunulie Spacio.
Tanga kuna raha bwana!
Wanaongoza kuzalia nyumbani, wanaongoza kwa kutokuwa na ndoa, wanaongoza kwa kutojiamini. Wamekariri kwamba mwanaume ni mapenzi ya kitandani vingine vyote wako ziro. Hiyo hela ya kununua spacio unayo? Siku hizi tuko juu, magari tunanunua wenyewe, sijui wewe ni wa wapi bado una tabia ya kuhononga? Wale ukinunua khanga tu ya pair kumi unafanyiwa mazingombwe. Mwanamke gani wa kibongo umhonge khanga?
Acha kutuzingua, una mpenzi kutoka Tanga? Kama una ndoa mkeo ni wa Tanga? Kama wanaume wote wangekuwa na akili kama zako wanawake wa mikoa mingine tungeishia najumbani mwetu. Ukipenda kitu penda wewe kama wewe usiusemee moyo.
kwa nnavyo wajua mimi wadigo wana tabia hizi
1. wanajua mapishi
2. wanajua mapenzi
3. wanapenda kujipamba, hususani kutoboa pua, kuchora hina, wanja na kujifukiza uturi
4. wanaongea sana, yani wana maneno mchanganyiko na matusi humohumo
5. kwenye swala la usafi hapo ni 50/50 yani kuna ambao ni wasafi, na wengine sio sana
6. asilimia zaidi ya 90 ni waislam,na mavazi yao huwa ni baibui na kanga pamoja na madira
7. n.k
10. wavivu kufanya kazi7. Wanapenda kwenda kwa waganga wa kienyeji.
8. Wepesi sana kuchepuka.
9. Madawa kienyeji nyumbani kama pharmacy.
9.
7. Wanapenda kwenda kwa waganga wa kienyeji.
8. Wepesi sana kuchepuka.
9. Madawa kienyeji nyumbani kama pharmacy.
9.
10. wavivu kufanya kazi
11. wanapenda kupiga umbeya vibarazani..
12.
endelea13. Niwasema hovyo
by binti kiziwi
14. Wengi wao wanaamini wameletwa duniani kumfurahisha mwanaume
15. Wanawekeza nguvu na akili zao katika mapenzi.