kwa nnavyo wajua mimi wadigo wana tabia hizi
1. wanajua mapishi
2. wanajua mapenzi
3. wanapenda kujipamba, hususani kutoboa pua, kuchora hina, wanja na kujifukiza uturi
4. wanaongea sana, yani wana maneno mchanganyiko na matusi humohumo
5. kwenye swala la usafi hapo ni 50/50 yani kuna ambao ni wasafi, na wengine sio sana
6. asilimia zaidi ya 90 ni waislam,na mavazi yao huwa ni baibui na kanga pamoja na madira
7. n.k
Dah!!...ugonjwa wangu huu.....napenda nioe msichana wa kidigo mimii.....