Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told

mie nadhani ndiyo vinavyochochea hiyo raha mwanaume anayoisikia hadi ajione kama mfalme wa tz yote. Mtu unaenda hadi raundi nne ndani ya dk 45, ili hali ukienda kwa waswahili ukifanikiwa raundi 2 ndani ya masaa ma3, ushukuru

Ndugu yangu ni Wali Tamu hiyo iliyoongeza hizo Horse powers zako! Hu unapatikana Tanga tu, kwa wadigo!!!
waja leo waondoka leo, wacheza mchezo nini!
 
NIJIBU TAFADHALI
Wachaga wengi wanaofanya shughuli Tanga ziwe ni kuajiriwa au biashara wanadai pesa ya Tanga haihamishiki; je ni kweli au zinaishia kwa hao wanawake wa Kitanga?

Mbona wamejenga nyumba na wana biashara nyingi sana pale tanga mjini? Ma bar mengi makubwa na hata Hoteli nyingi za Tanga ni za Wachaga! Wanataka kuhamisha pesa wapeleke wapi? Si bora hata Tanga wanapata utajiri wa bure, mbona NJOMBE hawatiii mguu, leave alone kuhamisha pesa????
 
Hata walioenda wakiwa vijana (hawajaoa) hakuna walichorudi nacho nyumbani zaidi ya kurudi mwili umechoka kuliko wazazi wao waliowaacha kule migombani. Kuna wenye nyumba za kulala wageni, bar lakini hawakuweza kujenga nyumbani hata walipokufa imekuwa ni aibu kwa hadhi waliokuwa nao kuzikwa sehemu ambayo hakuna nyumba



Tehe, tehe , tehe, tehe,,,,, Kwa hiyo wanaume wasiende Tanga???? Kwani lazima kuchukua wanawake wa Tanga? si uende na mkeo, kiranga cha nini?
 
Tehe, tehe , tehe, tehe,,,,, Kwa hiyo wanaume wasiende Tanga???? Kwani lazima kuchukua wanawake wa Tanga? si uende na mkeo, kiranga cha nini?

Kuna wanyamwezi wengi sana wameloea Tanga hasa kule Pangani na wanaitwa ...MAKULIWA Sijui maana yake halisi kwa undani, lakini chanzo cha kulowea huko ni Mahaba kama alivyosema mkkj
 
Lakini kama hakutaki hata uende na gunia la pesa hupewi yalimkuta mpemba mmoja akamtongoza mwanamke wa kidigo akaulizwa unafanya kazi gani akasema yy ni mvuvi akaambiwa kama unanitaka uje na shazi la samaki.

Siku ya pili mpemba katinga na shazi la samaki akambia na bibie nkuuliza swali ukipata ndo unakula vitu mpemba akasema sawa akauliza k**a inakaa wapi mpemba haraka haraka akajibu inakaa mbele mama wa kidigo akainama k imerudi nyuma mpemba akasema kumbe iko nyuma akaambiwa umekosa kesho uje na shazi jingine la samaki.

siku ya pili mpemba katinga na shazi la samaki akaambiwa lazima ujibu swali ndo nikupe akaulizwa swali lile lile la jana mpemba haraka haraka akajibu k ipo nyuma mdigo akabenua mbele k ipo mbele mpemba akasema kumbe ipo mbele akaambiwa umekosa uje na shazi jingine la samaki.siku ya tatu mpemba katia timu na shazi jingine akasema leo lazima nimtafune mwanamke wa kidigo.

akaambiwa ajibu tena lile swali k ipo wapi mpemba akajibu nyuma na mbele mama wa kidigo akatanuwa miguu ipo katikati.mpemba kakosa tena akasema kweli k ya kidigo haina nsimamo mara mbele mara nyuma mara katikati.hakupewa uchi juu ya kuleta mashazi ya samaki
 
kuna wanaume majuha kweli,sasa wewe kinachokufanya ufurahie kuoga maji ya viungo ni nini???umekuwa mchele????
 
Wewe kinachokufanya ufurahie vakesheni ya France na Spain ni nini?

Kila mtu na taste yake, acha watuogeshe kwa maji ya viungo, ndo tunayapenda.

kuna wanaume majuha kweli,sasa wewe kinachokufanya ufurahie kuoga maji ya viungo ni nini???umekuwa mchele????
 
kuna wanaume majuha kweli,sasa wewe kinachokufanya ufurahie kuoga maji ya viungo ni nini???umekuwa mchele????

wewe hujaelewa. Viunog kwenye maji ni sehemu tu, kuna mengi, mmk alimaliza kila kitu, hebu isome post yake kwanza
 
kuna wanaume majuha kweli,sasa wewe kinachokufanya ufurahie kuoga maji ya viungo ni nini???umekuwa mchele????

kinachokutofautisha wewe na mwanamke wa kitanga ni hayo yanayoongelewa hapa kwani kama ni K wote mnazo, iweje watu wakimbilie kwao-jiulize hapo ndo utajua kuna kitu cha ziada kwa hawa viumbe waliobarikiwa wa Tanga
 
Back
Top Bottom