Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Kuna vijini na vibwengo vya kitanga..nk
Kwa kifupi wanaume mnafanyiwa mambo mengi
ya uchafu na uhalifu bila nyie kujua.
Mzalendo, wewe ni kabila gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vijini na vibwengo vya kitanga..nk
Kwa kifupi wanaume mnafanyiwa mambo mengi
ya uchafu na uhalifu bila nyie kujua.
Hivi wanawake wa kitanga ndio wenye lile tego, ukienda kwa wanawake wengine jogoo hapandi mtungi?
Mzalendo, wewe ni kabila gani?
mie nadhani ndiyo vinavyochochea hiyo raha mwanaume anayoisikia hadi ajione kama mfalme wa tz yote. Mtu unaenda hadi raundi nne ndani ya dk 45, ili hali ukienda kwa waswahili ukifanikiwa raundi 2 ndani ya masaa ma3, ushukuru
Mi Tausi,
Kabila langu linakuhusu vipi wewe?
NIJIBU TAFADHALI
Wachaga wengi wanaofanya shughuli Tanga ziwe ni kuajiriwa au biashara wanadai pesa ya Tanga haihamishiki; je ni kweli au zinaishia kwa hao wanawake wa Kitanga?
Naharibu kivipi?
Hata walioenda wakiwa vijana (hawajaoa) hakuna walichorudi nacho nyumbani zaidi ya kurudi mwili umechoka kuliko wazazi wao waliowaacha kule migombani. Kuna wenye nyumba za kulala wageni, bar lakini hawakuweza kujenga nyumbani hata walipokufa imekuwa ni aibu kwa hadhi waliokuwa nao kuzikwa sehemu ambayo hakuna nyumba
Tehe, tehe , tehe, tehe,,,,, Kwa hiyo wanaume wasiende Tanga???? Kwani lazima kuchukua wanawake wa Tanga? si uende na mkeo, kiranga cha nini?
Au mmesahau hadi wanawake wa Kipemba miaka michache tu iliyopita walilalamika "Wanaume zetu wakenda Tanga hawarudi!"
kuna wanaume majuha kweli,sasa wewe kinachokufanya ufurahie kuoga maji ya viungo ni nini???umekuwa mchele????
kuna wanaume majuha kweli,sasa wewe kinachokufanya ufurahie kuoga maji ya viungo ni nini???umekuwa mchele????
kuna wanaume majuha kweli,sasa wewe kinachokufanya ufurahie kuoga maji ya viungo ni nini???umekuwa mchele????