Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

Uzuri wa mwanamke unaendana na uzur/utamu wa PAPUCHI yake.... Vp, papuchi yake ni tamu..?
Tuletee ushuuda wako hapa
 
Uzuri wa mwanamke unaendana na uzur/utamu wa PAPUCHI yake.... Vp, papuchi yake ni tamu..?
Tuletee ushuhuda wako hapa
 
Hahahaaa umenikumbusha mbali mkuu mademu wa DIT tulikuwa tunawaita calculator maana mademu wanashindia overall asee hapana

hahahah yes walikua wanavaa overall !hatar tupu sasa kaa pale nje cbe angalia vichuna wa mle !hahaa those days ....
 
Uzuri wahayo matege kama mchezo mpira au huo umbilikimo,?
 
Mmmmmhhhh labda kwa umaarufu wapo wazuri zaidi yake
 
ana kesi ya mauaji.
 
kuliko wanawake wote nchini? hujaona warembo aisee
 
Binti Mfupi Kama Kistuli...
Beauty Is On The Eyes Of The Beholder...
 
Sasa mtu unaishi kimboka utajuaje warembo wote wa nchi hii, tembea uone.


Huyo lulu hana urembo wowote kwanza Amelitia hasara taifa hili zaidi ya makinikia kwa kutoondolea Muigizaji Mwenye "talanta" isiyo mithilila.
Aahahahahahah
 
Mi sisifiag mwanamke mwenzangu nisij kuwa msagaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…