Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

Sifia mzalisha mbegu na si mbegu. Mzee Michael Kimemeta na Mama laurensia wapo. Hao ndio waliomzaa LULU.
 
Uzi huu uwe aibu kwa wale wote wanaodharau watoto wa kichaga..

Lulu ni mchaga mwenye mguu wa bia
 
Moja kati ya sifa ya uzuri wa mwanamke ni kimo chake (urefu)
Bahati mbaya Lulu andunje au watoto wa mjini wanaitwa kirukuu
 
Kwahyoo hata mamako sio mzuri mkuu?
 
anatibu magonjwa ya ini HEPATIS B ,,MAGONJWA YA FIGO,,UTI SUGU,,NGUVU ZA KIUME,,KUKUZA NA KUREFUSHA UUME,,,KUONGEZA HIPS NA MAKALIO NA SHAPE KWA DAWA ZA ASILI NA MITISHAMAA.....KUTANA NA DR KANYAS WA TIBA MBADALA 0744903557 TANGA
 
Ni huyu huyu Elizabeth nusu mtu au kuna mwingine kazaliwa mfupi kama kimba la asbh............ na je unamfahamu Hamisa Mabeto mama wa watoto wa2 lakini utadhani hajaingia leba? unamfahamu vizuri Nancy Sumari vizr wanawake wameenda leba lakini wako vizr..

Na zaidi ya yote nenda Usingidani na Mbulu babati ukawaone wa Iraq kama sio wambulu, nyaturu urudi hapa na huyu FUPI NYUNDO WAKO....................
 
Yani unamsifia lulu kwa lipi? Njoo huku kijijini kuna wanawake wazuri wana magamba kwa kukosa matunzo,lulu ukimleta huku alime hakuna kituu
 
Ila mimi mbona thimjui[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…