Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

Umecheck millage lakini??? Au kwako haijalishi kwa Mswati ubora ni bikra kwanza.
 
Tatizo watu wa Kanda ya ziwa n washamba mno hsa wakirya wanyaru sana cfa za mrembo uzijui we ushaona dunian mrembo bora anakuwa mfup kama mgongo wa nyundo ww unatafuta umaarufu kupitia huu upuuz uliouwandika

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hilo mkuu mwenyezimungu kila aliemuumba ni mzuri hakuna mtu ama kiumbe alichokiumba akiwa amechoka
 
Duh, broo labda naomba kujua vigezo ambavyo utambulisha kuwa huyu mwana mke ni mrembo
 
Lulu demu wa Kichaga ana figa ya hatari, Kanumba alimtoa Bikra akiwa na miaka 13, Sasa jiulize huyu mtoto miaka 22 anakumbatiwa na mawakili wabobezi akina Msando wamepanda ndege toka Arusha kuja kupata hug(ili vijimatiti vya lulu vimguse).

Kiukweli Wachagga ni wazuri,Lulu anawakilisha Wamarangu wote
 
Mtoa post nenda huko alikotoka Lulu (Marangu) utachanganyikiwa. Yaani kule Lulu ni wa kawaida kabisa. Kuna vifaa hatari.

Nikisema hatari namaanisha hatari kwelikweli.
 
Ndio maana nimeanza kupitisha kamchango ka kupata vijihela vya kumtafuta wakili wa maana kusimamia kesi ya Lulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…