Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini



Mkuu, The CIA , nenda tu break.

Ila nashukuru sana mkoa wa Tanga kuwa nchini, Tanzania maana wangu anawazidi wote hadi lulu sijui dhahabu.
 
Wewe, kusifia mwanamke m1 unayemhusudisha wewe kwenye kadamnasi ni matusi.
Ambao unaona hawakupendezi wewe, kwa wenziyo ni mamalkia na ni kituko pia kwa wenziyo kwa yule ambaye unamuona wewe ni bora.
Kuthaminisha watu kwa kuwapanga kwa sura na maumbile yao ambayo wao walistukia tu wanayo ni kumkufuru Muumba na ni dharau isiyostahili onyo wala execuse.
 
Kunatofauti kubwa sana kati ya urembo na uzuri

Sasa kama Kwa kigezo cha urembo, nenda kwake asbh kabla hajaamka. Ingawa kuna makeup siku hizi za 72hrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…