Menina ana umbo zuri ila mfupi na sura kama dada zangu wa Mbeya tu
Menina ana umbo zuri ila mfupi na sura kama dada zangu wa Mbeya tu
ohh kumbe lulu mrefu?
Jamani Nargis Mohamed nae mrembo sana tena mrefuuuuu
Kwani meninah na Lulu na mfupi zaidi ya mwenzie
ninamfahamu vizuri yule kwa Lulu hata soksi amvalishi na mishavu yake plus mi nyama uzembeunamfahamu menina mkuu?
Yule wa kwenye ile video ya zali la mentali ya mbunge prof jay
Nasikia alitokaga na masoud kipanya
Wote wafupi tu ,kuna wadada wengine wamewazidi urembo kama Mimimars ,Nargis na Malaika
Ila Lulu ni mfupi zaidi kuliko meninah kwahyo hyo part ya ufupi ungeiondoa
Ndo huyo ,we unamwonaje ? Pia aliigiza movie ya yellow banana na Ray kigosi
Ila Lulu ni mfupi zaidi kuliko meninah kwahyo hyo part ya ufupi ungeiondoa
Kwa kifupi hao wote wawili siwakubali nawaona wa kawaida tu,Lulu ni mamekap tu