Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

Ndo huyo ,we unamwonaje ? Pia aliigiza movie ya yellow banana na Ray kigosi

Yupo vizuri

Mi nadhani mtoa uzi alimaanisha kwa wavumao sio generally

Unajua kuna mademu underground wakali sana

Ukitaka kujua tafuta michepuko ya matajiri ndio utajua

Luna watoto wapo tandale na mikoani huko isingekuwa kujipodoa na kujimek up ni wakali balaa
 
Back
Top Bottom