Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Koti kuuuuubwa na zuri lakini lina MADOA na CHAWA.Hii kataeni kubalini ila GENTAMYCINE sijawahi kukosea kuanzia Timu ninayoishabikia bora ya FC Barcelona, Mchezaji ninayemshabikia Lionel Messi, Mtandao bora ninaoupenda kuliko yote wa JamiiForums, Klabu bora ya Afrika Mashariki ninayoipenda ya Simba Sports Club, Mwanasheria bora ninayempenda Tundu Lissu, Chama bora cha Kisiasa ninachokipenda duniani cha CCM
Timu bora ambayo haijawahi kuvuka mpaka na kombe...ha ha ha, wacha maneno braza!
Chama bora cha siasa chenye kukataza siasa...una kejeli Lumumba wee!