Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

Mkuu hivi pale UDBS huwa wanaangaliaga sura nini mana wote wazuri. .
Nendaa Coet huko ukakutane na wadada wenye sura chungu

Pale UDBS kuna masomo laini ndio maana wote wanakimbilia pale. Toka lini mrembo akaenda CoET? Mziki wake atauweza?
 
Hii kataeni kubalini ila GENTAMYCINE sijawahi kukosea kuanzia Timu ninayoishabikia bora ya FC Barcelona, Mchezaji ninayemshabikia Lionel Messi, Mtandao bora ninaoupenda kuliko yote wa JamiiForums, Klabu bora ya Afrika Mashariki ninayoipenda ya Simba Sports Club, Mwanasheria bora ninayempenda Tundu Lissu, Chama bora cha Kisiasa ninachokipenda duniani cha CCM, Mkoa bora ninaoupenda wa Mara ( Musoma ), chombo cha Usafiri bora ninachokipenda Baiskeli ya Phoenex, Magazeti bora ninayoyapenda ya Tanzania ya The Citizen na MWANANCHI, sehemu bora ya kupatia Mademu ya Kimboka Buguruni, Tv bora ninayoipenda ya ITV the Super Brand, Kikundi bora cha Uchekeshaji cha Mizengwe, Mbunye tamu kuliko zote nchini Tanzania za Tanga, Singida na Iringa, Bangi bora kabisa ya Blantyre, Malawi, Kilevi bora kabisa cha Konyagi, Wakili nadhifu na anayejipenda kuliko wote nchini Peter Kibatala, Rais bora kwa sasa nchini Tanzania tokea Nyerere afariki dunia Dkt. Magufuli, Gazeti bora la Michezo nchini la CHAMPIONI, Mchambuzi bora wa Mpira kwa sasa nchini Oscar Oscar, Mchangiaji bora kuliko wote JF Joseverest, Kinywaji bora baridi kuliko vyote nchini cha Fanta, Mtandao bora wa Simu kuliko wote nchini Tanzania wa Airtel, Whistle-blower bora kwa sasa duniani kote ni Mange Kimambi na njia bora ya ufanyaji mapenzi ya kavu kavu / nyama ndani nyama nje.

Huo ulikuwa ni Utangulizi tu na kama kuna mahala popote labda nimesahau basi mtanisaidia kuongezea ongezea nyama ili mradi tu hicho kitu kiwe bora kweli sawa?

Najua na nakiri kwamba ni kweli Tanzania ina Wanawake wengi wazuri ila hapa tusiwe Wanafiki, Wachoyo wa Sifa na Roho mbaya na ukweli ni kwamba huyu Binti Elizabeth Michael alias Lulu si tu kwamba ni Mzuri bali ni Mrembo hasa na mpaka sasa kila nikiangaza huku na kule nani wa kumfananisha nae kwa Urembo kwa hapa Tanzania bado sijaona.

Elizabeth Michael alias Lulu ana sifa zote Saba ( 7 ) ambazo Mwanamke yoyote yule Mrembo anatakiwa awe nazo na pia ni Mwanamke ambaye Mwanaume yoyote ukiwa nae wala hutosubiri hadi akulilie shida au akuombe Hela bali Wewe mwenyewe tu utashangaa unaingia zako mfukoni na unampa Hela.

Huyu Binti Lulu sijui Mwenyezi Mungu alimuumba Saa ngapi kwani hakukosea chochote Kwake na kamtoa vile vile ambavyo Yeye ( Mungu ) alikusudia. Mademu kama hawa sijui akina Wema Sepetu, Hamisa Mobeto na Wastara nadhani waliumbwa wakati Maualana amechoka kwani kiukweli hawa mvuto kabisa Kwangu na GENTAMYCINE nikikukataa basi jua hata Mola nae amekukataa.

Hongera sana Lulu kwa kutokuwa si tu Mzuri bali Wewe ni Mrembo haswa!

Nawasilisha.
unamaanisha lulu mbilikimo aliyemuua kanumba?
 
Kwa hisani ya Hance Mtanashati.....
maxresdefault.jpg
hqdefault.jpg
tunda84.jpg
maxresdefault.jpg
maxresdefault.jpg
Khaaa...! Huyu Mtoto mzuri aseee...Kaumbika si mchezo[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Hilo ni kweli kabisa ila wako wazuri zaidi ya huyo mrembo. Kuanzia reception hadi umbo na kila kitu ni natural hakuna mkorogo wala tako la kubandika.
 
View attachment 613861huyu huyu ama mwingine?
kama wasemanyo hakuna mkate mgumu mbele ya chai
tambieni pia hakuna msichana mbaya mbele ya pesa.
Tuangalie wengine pia View attachment 613862 huyu nae pesa zimemsaidia pia.

View attachment 613863 hawa bado wabichi kabisa, baada ya pesa sijui itakuwaje...
View attachment 613865 pesa achana nayo. Huyu hakuzaliwa na sura hii. Alikiwa hatazamiki ila after hela sasa sura ishakua hii. Ni jirani yangu home najua toka anazaliwa.

View attachment 613866 mwanaume halisi ndo huyu.
View attachment 613867
wote wanavutia..
View attachment 613868

Nitarudi ngoja niende break kwanza
Hahahahahahahahahahahaha
Duh!
 
Ukipita pita ktk safar zako nje ya mji nenda sehem moja chanika buyuni kwa mama lishe mmoja anaitwa mama Fatuma halaf umwangalie hyo Fatuma mwenyewe,,,kazi yake kuosha vyombo tu ndio utajua kuna wanawake waliumbwa mpk mungu akaamua siku inayofuata apumzike,,

19 yrs of age lakin balaa lake naamin akikatisha mitaa ya ushuani masaki unaweza sema ametoka Venezuela au Porto Rico,,hatar sana sana sana snaaaa hyo unaemsema sikuping kwa mawazo yako ila asee acha bhnaaaaa
Hahahahahahahahahahaha

Kaamua apunzike!!duh!
 
Kifaa kutoka Rombo dada yangu kabisa huyu
Ila hiyo kesi bana waachane nayo tu imeshatokea imetokea na sio maksudi
 
Hii kataeni kubalini ila GENTAMYCINE sijawahi kukosea kuanzia Timu ninayoishabikia bora ya FC Barcelona, Mchezaji ninayemshabikia Lionel Messi, Mtandao bora ninaoupenda kuliko yote wa JamiiForums, Klabu bora ya Afrika Mashariki ninayoipenda ya Simba Sports Club, Mwanasheria bora ninayempenda Tundu Lissu, Chama bora cha Kisiasa ninachokipenda duniani cha CCM, Mkoa bora ninaoupenda wa Mara ( Musoma ), chombo cha Usafiri bora ninachokipenda Baiskeli ya Phoenex, Magazeti bora ninayoyapenda ya Tanzania ya The Citizen na MWANANCHI, sehemu bora ya kupatia Mademu ya Kimboka Buguruni, Tv bora ninayoipenda ya ITV the Super Brand, Kikundi bora cha Uchekeshaji cha Mizengwe, Mbunye tamu kuliko zote nchini Tanzania za Tanga, Singida na Iringa, Bangi bora kabisa ya Blantyre, Malawi, Kilevi bora kabisa cha Konyagi, Wakili nadhifu na anayejipenda kuliko wote nchini Peter Kibatala, Rais bora kwa sasa nchini Tanzania tokea Nyerere afariki dunia Dkt. Magufuli, Gazeti bora la Michezo nchini la CHAMPIONI, Mchambuzi bora wa Mpira kwa sasa nchini Oscar Oscar, Mchangiaji bora kuliko wote JF Joseverest, Kinywaji bora baridi kuliko vyote nchini cha Fanta, Mtandao bora wa Simu kuliko wote nchini Tanzania wa Airtel, Whistle-blower bora kwa sasa duniani kote ni Mange Kimambi na njia bora ya ufanyaji mapenzi ya kavu kavu / nyama ndani nyama nje.

Huo ulikuwa ni Utangulizi tu na kama kuna mahala popote labda nimesahau basi mtanisaidia kuongezea ongezea nyama ili mradi tu hicho kitu kiwe bora kweli sawa?

Najua na nakiri kwamba ni kweli Tanzania ina Wanawake wengi wazuri ila hapa tusiwe Wanafiki, Wachoyo wa Sifa na Roho mbaya na ukweli ni kwamba huyu Binti Elizabeth Michael alias Lulu si tu kwamba ni Mzuri bali ni Mrembo hasa na mpaka sasa kila nikiangaza huku na kule nani wa kumfananisha nae kwa Urembo kwa hapa Tanzania bado sijaona.

Elizabeth Michael alias Lulu ana sifa zote Saba ( 7 ) ambazo Mwanamke yoyote yule Mrembo anatakiwa awe nazo na pia ni Mwanamke ambaye Mwanaume yoyote ukiwa nae wala hutosubiri hadi akulilie shida au akuombe Hela bali Wewe mwenyewe tu utashangaa unaingia zako mfukoni na unampa Hela.

Huyu Binti Lulu sijui Mwenyezi Mungu alimuumba Saa ngapi kwani hakukosea chochote Kwake na kamtoa vile vile ambavyo Yeye ( Mungu ) alikusudia. Mademu kama hawa sijui akina Wema Sepetu, Hamisa Mobeto na Wastara nadhani waliumbwa wakati Maualana amechoka kwani kiukweli hawa mvuto kabisa Kwangu na GENTAMYCINE nikikukataa basi jua hata Mola nae amekukataa.

Hongera sana Lulu kwa kutokuwa si tu Mzuri bali Wewe ni Mrembo haswa!

Nawasilisha.

My number one, huyu Hapa! Hakuna Demu mzuri kama huyu Dunia hii!

maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom