Ahhhhh zubeda weeeeee..jambo unakaa tandale sweet corner lakini ---- linakulinda mbayaaaa
uswazi watoto wana remonti za ku muendesha mwanaume atakavo
Nipo tandale lakini si fashion ila tu wengi warithi kalio
Ukute dira limechomekewa kwenye chupi, balaaa tupu.Uswahilini kuna raha yake.
I dare to post thread openly..... mi ndio MCHUNGUZI HURU
Wadau huu ni uchunguzi wangu binafsi: Nimegundua kuwa wanawake wa Ushuani kama vile Masaki, Mbezi Beach n.k hawana MAKALIO MAKUBWA SANA kama wale wanawake wa Magomeni, Manzese, Temeke, Mbagala na Tandale.
Sijajua sababu ila ukweli ni kwamba wengi wana makalio makubwa na wanajua sana kukatika.
MCHUNGUZI HURU
kibongo bongo ukinenepa ndo maisha umeyapatia na watu wanakusifia
Njoo chuga yani balaa alafu weupeee!
mamangu mdogo anaishi Arusha, alipokuja dsm, tukiwa k'koo siku 1, akaniuliza: "weee ......, mbona kila binti wa dsm amefutuka nyuma, ni niaje?" Mi nilikosa jibu!
m..a.ta.ko ya wastani ndo nzuri mwanamke anaonekana portable,kwanza wanene wana jasho sana na harufu
Ukute dira limechomekewa kwenye chupi, balaaa tupu.Uswahilini kuna raha yake.