I dare to post thread openly..... mi ndio MCHUNGUZI HURU
Wadau huu ni uchunguzi wangu binafsi: Nimegundua kuwa wanawake wa Ushuani kama vile Masaki, Mbezi Beach n.k hawana MAKALIO MAKUBWA SANA kama wale wanawake wa Magomeni, Manzese, Temeke, Mbagala na Tandale.
Sijajua sababu ila ukweli ni kwamba wengi wana makalio makubwa na wanajua sana kukatika.
MCHUNGUZI HURU
Ni kweli, tena kweli kabisa. Mi wakat namzaa mwanangu mzaramo aliniambia niwe namfunga kama kitambaa chin ya makalio kunyanua shape afu na jinsi ya kumbinua kiuno nkafanya moja tuu LA wowowo, mwanangu anashape nzuri hatar nlifanya ivo kipind hajakomaa yan akiwa kachangaaa. Naambiwa uswazi weng wanawafanya ivo,alafu kukatika ni kwa vile wanamichezo hyo kila waendapo wao kukatika hata mama zao wanawawaambia aya katika nikuone,alafu vigodoro ni ving. Mi mwanangu nlimuacha chanika miaka mitatu kurud ni mtaalamu wa kukatika
Nadhani kuna uhusiano na makabila.
Wanyachusa na wahaya wanaingoza sana tena ni natural sio mchina.
Wengine kama wapare pia si haba.
Wachaga wapo flat kama sinia.
Watanga nao wamo kidogo na wazaramo
kweli kabisa mkuuNdugu kiasi fulani upo sahihi.
hao wa kishua wana access kubwa na western culture ambayo inawaaminisha kuwa slimness ndo kila kitu lakn wa uswahlini wanaamini mwanamke ni nyamanyama
AFRICA BAMBATAAAAA.....I dare to post thread openly..... mi ndio MCHUNGUZI HURU