1st AID
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 1,079
- 523
BUKU JERO hii ni nukuu ya style ya MCHUNGUZI HURU
on how he write thread au ndio ile twin IDs fafanua!
on how he write thread au ndio ile twin IDs fafanua!
I dare to post thread openly..... mi ndio MCHUNGUZI HURU
Wadau huu ni uchunguzi wangu binafsi: Nimegundua kuwa wanawake wa Ushuani kama vile Masaki, Mbezi Beach n.k hawana MAKALIO MAKUBWA SANA kama wale wanawake wa Magomeni, Manzese, Temeke, Mbagala na Tandale.
Sijajua sababu ila ukweli ni kwamba wengi wana makalio makubwa na wanajua sana kukatika.
MCHUNGUZI HURU