Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Amini au usiamini, kuna kila dalili kuwa huenda makundi ya wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA kirahisi kabisa. H
Haya ndio maoni ya wachambuzi wengi wa siasa za USA katika muda wa mwisho kabisa kuelekea kupigwa kwa kura za mwisho siku ya kesho 5/November. Na hizi ndio sababu kubwa.
1. Wanawake wengi safari hii wamejitokeza kwenda kupiga kura.
2. Wademocratic wengi wameshajitokeza kupiga kura.
3. Kura za maoni za mwisho kabisa katika jimbo la Iowa zinaonyesha upepo umegeuka na kuna dalili kuchukuliwa na Democratic.
4. Sera za Kamala Haris zina mashiko mazuri kiasi kuhusu Gaza.
Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?