Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Yes ili ukimtumia iwe fair and squre ulizani ataagiza maji inatwa gain healthy process .Yaani hayana hata aibu. Kisa tu umeliita mahala njoo ili upate kilaji alafu nikupige mashine.
Linaaagiza wine wakati lina njaa na matatizo lukuki.
Aka kukabia shingoniHapo ni km timu ipo kwenye pitch lzm timu ijue kukaba na kushambulia sasa wewe umeingia na mentality ya kushambulia pekee Na wao mentality yao daima ni kushambulia lzm uje ulalamike jombaa....... jifunze mitindo ya kukabia juu kwa juu usiruhusu ashambulie.Weka hela mezani mwambie hiki ndo kilichopo sasa aamue nini cha kufanya au aagiza kinywaji na chakula wewe usimpe nafasi ya kuchagua hii ndo inaitwa high line defensive[emoji3][emoji3]
Wavulana mnatia aibu, kama unataka kukojowa tu si wapo wanaouza hataki hata hiyo bia yako?Yaani hayana hata aibu. Kisa tu umeliita mahala njoo ili upate kilaji alafu nikupige mashine.
Linaaagiza wine wakati lina njaa na matatizo lukuki.