Psychology inap-rove kuwa ufupi huwa una complications zake, watu wote wafupi wana tendency ya kujaribu kuonyesha kuwa na wao wapo, au wajulikane kuwa wapo, wakati in actul fact wanakuwa wapo. Ni inferiroty complex ya aina fulani huwa inawafanya wadhani kuwa hawapo wakti siyo kweli. Kuna siku (1997) Dr. Joyce Ndalichako aliwahi kufundisha somo kuhusu physical appearances za watu na ilipofika kwao ilibidi kwanza aombe msamaha kwa watu wote ambao wanahisi kuwa ni wafupi waliokuwemo darasani. Kuhusu wanawake wafupi na warefu, mwanamke mrefu mpole lakini ni mzembe, wanawake wafupi wakorofi lakini ni wachapa kazi sana! Samahani kwa makala hii kama kuna mtu haitamfurahisha!