Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OMG!! hii lugha mbona me bado kuelewa maana yake? Belinda J nsaidie tafadhali.
Duu hili jina nililisikia two years ago!! umenikumbushs mbali sana!!!
mie Teamo niko hiyo 5 feet 4 inches ...........sasa sijui utaniweka katika dunia ya wafupi au dunia ya average
Nadhani wafupi wa 'kina' na sio 'kimo'ndio bomba zaidi
Wengine mitarimbo yeto mikubwa tutagonga ukuta kwenye kina kifupi
wanawakew wafupi sana ni wabishi mno
Teamo .........wafupi kuliko kitu gani?
Hapo kwenye bluu ndiyo umefanya nini???? Hapo kwenye nyekundu naomba nikusahihishe, sio wote ..........................:nono:Psychology inap-rove kuwa ufupi huwa una complications zake, watu wote wafupi wana tendency ya kujaribu kuonyesha kuwa na wao wapo, au wajulikane kuwa wapo, wakati in actul fact wanakuwa wapo. Ni inferiroty complex ya aina fulani huwa inawafanya wadhani kuwa hawapo wakti siyo kweli. Kuna siku (1997) Dr. Joyce Ndalichako aliwahi kufundisha somo kuhusu physical appearances za watu na ilipofika kwao ilibidi kwanza aombe msamaha kwa watu wote ambao wanahisi kuwa ni wafupi waliokuwemo darasani. Kuhusu wanawake wafupi na warefu, mwanamke mrefu mpole lakini ni mzembe, wanawake wafupi wakorofi lakini ni wachapa kazi sana! Samahani kwa makala hii kama kuna mtu haitamfurahisha!