Wanawake wagogo

Wanawake wagogo

Nina experience na mmoja nilikuwa nakaa nae room moja hostel alikuwa akiiba mpaka nguo anaenda kuvaa kwao likizo, mchafu ananawa tu uso, anapenda mikorogo unakuta usoni mweupe mwilini mweusi, mchafu hajui hata kutandika kitanda, mchonganishi/mwongo, kiufupi nilimuachia chumba.
 
Nilikuwa nae Merry ,,Kwa kweli alikuwa na **** nzuri sana akanifundisha kugegedana kila siku,,, kwa vile alikuwa fundi,,,sana Upungufu wa nguvu nilikuwa nausikia tu watu,,,akanifanya nizoee sana kugegedana kila siku,,na alikuwa chanzo cha mimi kununua Madada poa,,coz nilikuwa conditioned,, ila sura ni wazuri sana,,ila siwajui tens zaidi maana sample ya mmoja haiwezi kuja na conclusion
 
Tabia zinazotokana na makabila zilikuwepo miaka ya nyuma, na hii ilitokana na kutokuwa na muingiliano kati ya tamaduni moja na nyingine na ukosefu wa elimu na 'exposure' kwenye dunia hii tunayoishi.

Kwa sasa sidhani kama tabia za kikabila ni kitu cha kukiangalia sana kwenye mahusiano. Cha msingi focus kwenye tabia zake binafsi. Kama ni mwanamke anayejiheshimu, mchapa kazi, hana tamaa, mwaminifu, anajitambua, ana upendo na pia anajua wajibu wake na anaweza kujishughulisha kwa mambo mbalimbali na mawazo yake ni mapana, sidhani kama suala la kabila lake linahusika sana, utapoteza bahati bure!

Kila la kheri,
HP
Umenena mkuu mfano mimi ua sina tabia au kufanana na watu wa kabila langu washkaj husema kua kabila la kusingiziwa
 
Ktk nyumbA nliyopangwa dalal aliniuliz Ww kabila gan nkamwambia mzigua akajib ahaa kuna chumba ila mwenye nyumba hatak mgogo....Nkapewa chumba siku ya cku nkamuuliza mwenye nyumba kulikon hukutaka mgogo akajib wanakuwa WACHAFU na ukizingatia kaz zao niza kuchinja na kuuza nyama bas ndio kabsaaa wanakujazia nzi n shombo....Ila hata mm nimewashuhudia moro ki ukwel usafi 0.ILA SIJAJUA WALIO MIJI MIKUBW KAMA DAR ARUSH MWANZA.....Hapa moro wamejaaa wanaitana toka dom
 
Waongo, hasira, wezi wa vitu vidogovidogo kama vijihela kwenye suruali!! Wanajua kusachi!! Msinipige mawe kuna ndoa nimesimamia na tabia ndiyo hii inabidi mume afiche pochi akiisharudi!! Na kwa wengine nilishasimuliwa!!! Na wengine tulikaa nao kama mabinti wa kazi, ni wezi wa vitu vidogovidogo sana!!! Nyama kilo moja utakuta nusu!!! Ni kwa wengi wao!! Ukweli hurekebisha na wenye kusoma hapa wajue wengi wao ndivyo walivyo!!!
Hahaha hahaha dah nimecheka sana kwa kweli
 
Kwakweli mkuu. Wagogo wana mapenzi ya dhati na pia ni waminifu kweny ndoa hata km atacheat lkn kwa bahati mbaya lkn upendo atakuwa nao. Upande wa elimu, wengi hawapend kusoma kutokana na mazingira yao magumu. Weng wanaishia shule ya msingi, wakijitahid sana wanaishia sec. Ila wengi wao ni wafupi si wanaume si wanawake.
Wana hasira pind utakapo wakwaza. Shem yako ni mgogo, anajituma sana kufanya kaz, sio mvuv hata shamba anaenda. Anaupendo wa dhati, msikivu. Msafi. Kwakweli na enjoy sana na pia najivunia kuwa naye. Anaupendo wa dhati. Ni full raha. Mungu tusaidie.
Kiukweli, nadeka sana kwa mama agatha.
 
Nina experience na mmoja nilikuwa nakaa nae room moja hostel alikuwa akiiba mpaka nguo anaenda kuvaa kwao likizo, mchafu ananawa tu uso, anapenda mikorogo unakuta usoni mweupe mwilini mweusi, mchafu hajui hata kutandika kitanda, mchonganishi/mwongo, kiufupi nilimuachia chumba.
Hahahaha!!! Alikuwa ana uso mpya miguu ya zamani siyo
 
Blacks are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex.........................P.W. Botha

hii signature yako ina maana kubwa sana na ni jibu sahihi kwa swali lako pia linadhihirisha wewe ni mtu ambaye hauko makini na mambo yako na unachokiamini.period
 
Jamani naomba mnijuze kuhusu tabia za wanawake wa kabila la wagogo,nini wasifu wao???

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Am speaking reality as mim mamang n mgogo na wajomba zang wote wagogo. Ni wavumilivu, sio wajanja wajanja kwenye ndoa ila wengi wao wabinafsi sna na waongo. Yaan ukimuoa anakujua wee mume tu ndugu na jamaa hapana hawajal.Ni waroho WA nyama usipime yaan hua nkienda kw wajomba zang Dom natenga hela ya kuwanunulia nyama ya kutosha ili warizike .Jpo ukibahatisha mwenye roho safi utafurah sana kumuoa na kuishi naye however my mom alinizuia nisije oa mgogo maana nlisoma huko wakat nkiwa katika umri WA kuelekea kuoa.
 
Kwa wakati tulionao ni ngumu kujua tabia ya kabila fulani kwa sababu tayari tumeshasogezwa karibu kwa kila kabila kutokana na kupanuka kwa mwasiliano
 
Am speaking reality as mim mamang n mgogo na wajomba zang wote wagogo. Ni wavumilivu, sio wajanja wajanja kwenye ndoa ila wengi wao wabinafsi sna na waongo. Yaan ukimuoa anakujua wee mume tu ndugu na jamaa hapana hawajal.Ni waroho WA nyama usipime yaan hua nkienda kw wajomba zang Dom natenga hela ya kuwanunulia nyama ya kutosha ili warizike .Jpo ukibahatisha mwenye roho safi utafurah sana kumuoa na kuishi naye however my mom alinizuia nisije oa mgogo maana nlisoma huko wakat nkiwa katika umri WA kuelekea kuoa.
Kwanini alikuzuia usioe mgogo?
 
Imebidi nije kusoma kwanza sifa ila nilichoambulia nakosa kabisa nikae upande gani, ila kuna aliyesema Mtu na Mtu kanipa imani iliyoanza kubomoka, acha nijionee mwenyewe ila nimeshajua baadhi ya tabia so nitakuwa makini nazo
 
Jamani naomba mnijuze kuhusu tabia za wanawake wa kabila la wagogo,nini wasifu wao???

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
ni wachache sana nimewahi kukutana nao, sijui huwa wanajificha kabila lao au vipi, nawafahamu wawili tu. but nimeishi na kujifunza kwamba mazingira tuliyokulia, na desturi/tamaduni tulizokulia zinaathiri sana aina ya watu (wo we grow to be). Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom