Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
wana roho mbaya kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unataka visimi kwani unaenda kutambika??? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hawana visimi
Umenena mkuu mfano mimi ua sina tabia au kufanana na watu wa kabila langu washkaj husema kua kabila la kusingiziwaTabia zinazotokana na makabila zilikuwepo miaka ya nyuma, na hii ilitokana na kutokuwa na muingiliano kati ya tamaduni moja na nyingine na ukosefu wa elimu na 'exposure' kwenye dunia hii tunayoishi.
Kwa sasa sidhani kama tabia za kikabila ni kitu cha kukiangalia sana kwenye mahusiano. Cha msingi focus kwenye tabia zake binafsi. Kama ni mwanamke anayejiheshimu, mchapa kazi, hana tamaa, mwaminifu, anajitambua, ana upendo na pia anajua wajibu wake na anaweza kujishughulisha kwa mambo mbalimbali na mawazo yake ni mapana, sidhani kama suala la kabila lake linahusika sana, utapoteza bahati bure!
Kila la kheri,
HP
Hahaha hahaha dah nimecheka sana kwa kweliWaongo, hasira, wezi wa vitu vidogovidogo kama vijihela kwenye suruali!! Wanajua kusachi!! Msinipige mawe kuna ndoa nimesimamia na tabia ndiyo hii inabidi mume afiche pochi akiisharudi!! Na kwa wengine nilishasimuliwa!!! Na wengine tulikaa nao kama mabinti wa kazi, ni wezi wa vitu vidogovidogo sana!!! Nyama kilo moja utakuta nusu!!! Ni kwa wengi wao!! Ukweli hurekebisha na wenye kusoma hapa wajue wengi wao ndivyo walivyo!!!
Hahahaha!!! Alikuwa ana uso mpya miguu ya zamani siyoNina experience na mmoja nilikuwa nakaa nae room moja hostel alikuwa akiiba mpaka nguo anaenda kuvaa kwao likizo, mchafu ananawa tu uso, anapenda mikorogo unakuta usoni mweupe mwilini mweusi, mchafu hajui hata kutandika kitanda, mchonganishi/mwongo, kiufupi nilimuachia chumba.
Am speaking reality as mim mamang n mgogo na wajomba zang wote wagogo. Ni wavumilivu, sio wajanja wajanja kwenye ndoa ila wengi wao wabinafsi sna na waongo. Yaan ukimuoa anakujua wee mume tu ndugu na jamaa hapana hawajal.Ni waroho WA nyama usipime yaan hua nkienda kw wajomba zang Dom natenga hela ya kuwanunulia nyama ya kutosha ili warizike .Jpo ukibahatisha mwenye roho safi utafurah sana kumuoa na kuishi naye however my mom alinizuia nisije oa mgogo maana nlisoma huko wakat nkiwa katika umri WA kuelekea kuoa.Jamani naomba mnijuze kuhusu tabia za wanawake wa kabila la wagogo,nini wasifu wao???
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kwanini alikuzuia usioe mgogo?Am speaking reality as mim mamang n mgogo na wajomba zang wote wagogo. Ni wavumilivu, sio wajanja wajanja kwenye ndoa ila wengi wao wabinafsi sna na waongo. Yaan ukimuoa anakujua wee mume tu ndugu na jamaa hapana hawajal.Ni waroho WA nyama usipime yaan hua nkienda kw wajomba zang Dom natenga hela ya kuwanunulia nyama ya kutosha ili warizike .Jpo ukibahatisha mwenye roho safi utafurah sana kumuoa na kuishi naye however my mom alinizuia nisije oa mgogo maana nlisoma huko wakat nkiwa katika umri WA kuelekea kuoa.
ni wachache sana nimewahi kukutana nao, sijui huwa wanajificha kabila lao au vipi, nawafahamu wawili tu. but nimeishi na kujifunza kwamba mazingira tuliyokulia, na desturi/tamaduni tulizokulia zinaathiri sana aina ya watu (wo we grow to be). Mungu ibariki Tanzania.Jamani naomba mnijuze kuhusu tabia za wanawake wa kabila la wagogo,nini wasifu wao???
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums