Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam JF
Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.
Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.
Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.
Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.
🙏🙏🙏
Wadiz