Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

Wasalaam JF

Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.

Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.

Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.

Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.

🙏🙏🙏

Wadiz
Wapi ushahidi au unataka kutuletea udini uchwara. Heshima haina dini wala nini bali ni tabia ya mtu. Kimsingi, kama unawasifia hawa mnaowafunga kama maiti sina neno maana walishaharibiwa kiakili. Kama unasifia maninja ambao nao hutumia kujifunika kuwapumbaza wajahidina na kuwachezea, sina neno mwanangu.
 
Hasira za nini sijwalinganisha na chochote nimewasifia wao, hapo unavuka mipaka isiyo kuhusu, hujazuiwa kuwasifia unaowapenda na kuwakubali wewe,
 
Wasalaam JF

Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.

Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.

Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.

Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.

🙏🙏🙏

Wadiz
Mkuu weka na kamfano hai!
 
[emoji120][emoji120][emoji120]

Wadiz
Wengi hawajosoma... Hyo ndio shida..

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam JF

Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.

Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.

Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.

Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.

🙏🙏🙏

Wadiz
Nami nawapongeza,ila wanajua kuletewa mwenza ni nje,nje
 
Back
Top Bottom