Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Waoga tu wakuongezewa mke wa pili hadi wanne hakuna lolote ni heshima ya woga .mke wenza noma hakuna anayetaka ni ugumu wa maisha tu .Wasalaam JF
Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.
Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.
Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.
Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Wadiz
Mnastahili kwa dhati kabisa, hata mkikosa adabu mnajirudi haraka sana kutambua makosa na kuomba radhi mko vizuri mnoHatimaye tumekumbukwa
Kwa hiyo wanawake wote wakiislamu wana ugumu wa maisha na wanaogopa uke wenza mkuu tumia ubongo wako kama kiumbe haiWaoga tu wakuongezewa mke wa pili hadi wanne hakuna lolote ni heshima ya woga .mke wenza noma hakuna anayetaka ni ugumu wa maisha tu .
USSR
Labda ila imani yangu nimewachunguza kwa kiasi wako na fear of God na madrasa elimu yake inakaa sana ndani yao, na nadhani hata reflection ya maisha ya staha ya wazazi ina nguvuWaoga tu wakuongezewa mke wa pili hadi wanne hakuna lolote ni heshima ya woga .mke wenza noma hakuna anayetaka ni ugumu wa maisha tu .
USSR
Wewe ni muongo.Wasalaam JF
Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.
Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.
Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.
Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.
πππ
Wadiz
Mwambie hio hoja kakosea sana, Moslem women wanyenyekevu na wana utii sana. Mimi shahidi namba moja,Kwa hiyo wanawake wote wakiislamu wana ugumu wa maisha na wanaogopa uke wenza mkuu tumia ubongo wako kama kiumbe hai
Hapana ni kweli na ni wasikivu sana
Niko na weweMwambie hio hoja kakosea sana, Moslem women wanyenyekevu na wana utii sana. Mimi shahidi namba moja,
umejitahid kuwapamba lakini hata hao baadhi yao ; niwashenzi sana mbn tunawatafunaWasalaam JF
Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.
Mungu awatie nguvu mshichoke wala kukengeuka.
Inshallah imani isiwatoke vyovyote hata ukiteleza katika ukanda wa Dunia basi hivo hivo Mungu awe ndani yako Daima.
Hongereni sana sana, mashekhe, walezi, na wazazi.
πππ
Wadiz
Hivi yule wa Dr. MWAKA ni Dini gani hadi ametuondolea Shehe wetu wa Mkoa ?Wasalaam JF